mko kwenye mahusiano lakini, hamli pamoja hamtembei pamoja hamlali pamoja na mkilala mnalala na nguo tena mzungu wa 6, mnasalimiana kwa kulazimisha! mnaviziana kwenye kila jambo! HAIPENDEZI..!
Siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi...
Sijui niiweke hii news sehemu gani kule habari mchanganyiko naona kama sio penyewe kule chit chat sipaeLewi kule intelijensia kumejaa wanoko tu siredi itafungwa kule jokes na nin sijui sio paHala...
Seriously lookin for a aged girl 20-28 yrs teacher, anaweza kuwa mwalimu wa primari au sekondari kikubwa awe na uelewa mkubwa na mwenye uwezo wa kukatua matatizo, pia awe mwenye uchungu na maisha...
Asalaam wana jf.
Majira ya saa nne usiku huu,nilitoka kwangu nakwenda kutazama mechi katika bar ya jirani nakwangu.Muda ulipofika watu waliokuwa nje wakaingia ndani na mechi ikaanza rasmi,Muda wa...
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha!
Wenginehuomba kurudi ili wakutesti tu jinsiulivyo Mbulula,jinsi usivyo namsimamo na jinsi ulivyo CHEAP nahuna Misimamo wala Future.
Jitu...
Salaaaam sana wadau wa mmu,
Naombeni ushauri wenu jamani,mie nina uhusiano na dada mmoja.sasa nilijaribu kucheat kwa demu mwingine for a while sababu yeye yupo mbali huko chuoni.
Kilichotokea ni...
Habari zenu wana jamvi nimda nilipotea sasa narudi tena...
mwenzenu sijui nitajiepusha je na mtego huu
tangu nimeyajua mapenzi mwenzenu nimekuwa na mausiano na kama simke wa mtu basi alisha...
Habari zenu wana JF...
Nilikutana na mke mmoja ambae tulikuwa na mazoea tu nikama rafiki yeye ni mfanya kazi kwenye ofisi binafsi.
Maisha yaliendelea eneo alipokuwa anaishi palikuwa na duka na...
Ilikua jumatatu, tarehe 10 mwezi wa 6 mwaka 2013,niko kwenye msiba wa kaka angu(RIP BRO).. Ilikua kama sa 2 hivi usiku niko kwenye kikao tukijadili na kupanga taratibu za mazishi,kuhifadhi mpendwa...
Bila shaka mishe zinaendelea vizuri wadau wa MMU.
Nimeona nilete suala langu hapa maana naamini kuna watu wenye experience tofauti tofauti kuhsu masuala ya mahusiano.
Mwenzenu nlikutana na...
Kwa wajuzi wa kiswahili leo nataka niongelee misimu..
Misimu ni maneno ambayo huzuka
miongoni mwa kundi fulani katika jamii
na hueleweka tu miongoni mwa watu
katika kundi hilo. Misimu hukua na...
Umri wa ndoa:12
'Yaani nakumisi sana. Vitu unavyonipa kwangu sivipati. Napenda unavyonifanya. Yaaani wewe mtoto, utundu huo nani alikufundisha? Nakupenda sana tena sanaaaaa"
Ushauri...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kabila langu ni mhaya.elimu chuo kikuu,ninafanya kazi na kuishi zanzibar ,Natafuta mwanamke aliyetayari kuwa mke mwenza,awe na sifa zifuatazo;
1.Awe...
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na...