Hali ya hewa Dar?

Hali ya hewa Dar?

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Habari ya asubuh wanaJF,
Natumaini mmeamka salama na tayari kila mmoja anawajibika kwa nafasi yake kulijenga taifa letu.

Wagonjwa poleni sana, nawaombea kwa Mungu mpone haraka. Pia zingatieni ushauri wa kitabibu.

Nikirudi kwenye mada, nina swali kwenu nyote.

Kwa hali ya hewa ya Dar Leo hii ( ubaridi), unadhani thread za ukarasa huu Leo zitakuwa na uelekeo gani?

Nawasilisha!
 
Hbr ya asubuh wanajf
Natumaini mmeamka salama na tyr kila mmoja anawajibika kwa nafasi yake kulijenga taifa letu.
Wagonjwa poleni sana, nawaombea kwa Mungu mpone haraka. Pia zingatieni ushauri wa kitabibu.
Nikirudi kwenye mada, nina swali kwenu nyote. Kwa hali ya hewa ya dar Leo hii ( ubaridi), unadhani thread za ukarasa huu Leo zitakuwa na uelekeo gani?
Nawasilisha!
Thread yako ina-assume kwamba wanaMMU wote wanaishi Dar. Too sweeping assumption!
 
ha ha ha ha,kumbe nawe umeshangaa kama mimi,so wakat wa joto anamuweka pending

Kuna mengi ya kufanya nimkumbuke. Hilo ni mojawapo, Wkt wa joto nikikosa maji ya kuoga na kuniwashia feni namkumbuka pia! n.k
 
Hivi mtu unapo sema Dar kuna baridi, mngekuwa kule Iringa si mngebakana kabisa? Binafsi sioni tofauti yoyote kwamba naweza kuhamasika kingono!
 
Hivi mtu unapo sema Dar kuna baridi, mngekuwa kule Iringa si mngebakana kabisa? Binafsi sioni tofauti yoyote kwamba naweza kuhamasika kingono!

Neno baridi ni relative. Sio universal. Kwa kuwa linahusisha sense of touch na kila mwanadam ana namna yake ya kuhisi hali fulani. Iringa pa kawaida sana
Baridi ipo njombe na vijiji vyake kadhaa
 
nipo zangu job hapa mikocheni hali tafran ofisi naionachungu A/c nimezima ila kabaridi kanapenya nikitoka hapa napitia shopperz plaza nikamate dompo pale najua mama watoto toto la kitanga tayar lisha andaa mazingira ya naomba saa kumi ifike hata boda boda ntachukua hali inaruhusu wadau yan dah
 
Back
Top Bottom