Wanaume, na mwenye ushauri kwangu

Wanaume, na mwenye ushauri kwangu

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Mwenzenu nina kitu fulani, sifahamu kama ni tatizo ama laa!! hili ni jambo linalopelekea mpaka huwa nashidwa kutongoza sehemu ya wazi. Kama barabarani, kwenye bus, kwa ujumla ni sehemu zenye mwanga.

Nikianza tu kuongea na mwanamke athumani sina kofia anakasirika mithili ya mbogo aliye jeruliwa na kusimama wima mithili ya nguzo ya umeme. Jambo ambalo inanilazimu nimkimbie mwanamke haraka sana kabla sijaaibika. Ukweli siku zote nashidwa kufikia muhafaka dhamira yangu.

Wenzangu hii inawatokea wote au kwangu ni ugojwa??

 
kwani huyo athumani wako anareact bila mindset yako
 
Usipanie mkuu, chukulia jambo la kawaida
 
ha ha ha ha anasimama kama nguzo za umeme.....

ona jambo la kawaida kwenye akili yako..usilifikirie sana hadi unaharibu mfumo wa kuwaza
 
Tatizo utakuwa wakati unamsoundisha we akili yko inaruka viunzi na unawaza jinsi ya kumchezesha kidali pooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom