Maajabu mengine haya ya bongo

Maajabu mengine haya ya bongo

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
878
Habari wanajamvi jana tulikuwa kwenye story za kawaida ila kwenye cm yake akawa anachart huku akicheka mwishoe akaona atushirikishe hiyo mes ya kwanza kuingia kwenye cm ikisema hivi: Kaka flani yani jina lake mimi nakusalimu tu ila baada ya salama nilikuwa nakutaharifu kwamba kama utahitaji huduma ya mapenzi nipigie tu kwa no hii, kaka flani akamjibu kwani nani mwenzangu, bibie akajibu hivi akamwambia utanifahamu tu kaka flani akamuuliza nani kakupa no yangu? Akamjibu no mbona zinapatikana tu kaka flani usijali mimi utanijua siku hiyo tukikutana na hata kama kuna rafiki zako wanataka hii huduma waambie pia na no uwape na huduma yenyewe ipo hivi: ukitaka nyuma kwa usiku mzima ni laki na kama kawaida ni maelewano, kaka akamjibu ok ikitokea nitakujulisha hapo ndio tukawa tunajiuliza kulikoni sasa badala ya kujiweka mabarabarani, mahotelini, mabaa imekuwa haitoshi au ndio ubunifu? Nikasema hapana ngoja nije kushare na MMU huku nisikie hili jambo mmeshakutana nalo kaka zangu au ndio jipya. Karibuni
 
Hiyo kama unavyoona texi bubu, wapo wengi wa namna hiyo wengine wana kazi zao, wengine vyuoni na kuendelea

Kwa kweli muelekep umeshapotea
 
biashara yotote ubunifu ni muhimu ....
matangazo na prootion ni nying ili wateja wao waone utofauti

hawa wanafanya biashara ya miili yao kwa hiyo usishangae
 
Mkuu tafadhali weka namba hazarani, wanunuzi Bubu pia tupo.
 
tupia namba hizo mkuu wanaozitaka wachukue kama umesusa!!
 
Si ajabu hilo ni tego kaekewa na demu wake ili afumaniwe!hahah kaka fulani,
 
Hadithi yako inatufundisha nini?
Kuwa makini hapo unapimwa tabia na demu wa sasa .
 
Back
Top Bottom