Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,027
- 1,052
Wadau niwasalim,
Kwanza naonba nikiri kwa sasa JF na haswa mmu imekua ni sehem muhimu kiushauri kwangu binafsi.. tukiacha wale ambao mara zote wana-comment pumba kuna watu muhimu sana umu na wana ushauri murua wakat wote ambao ndo haswa ningependa nipate ushauri wao.
Mim nina tatizo moja kua hela hazikai!....nikipokea mshahara sina siku tano umeisha...na kwa sababu sina familia...niko mwenyew na kiwango nnacholipwa kinatakiwa kikidhi mahitaj yangu ya mwez na kubakisha akiba...
sababu ambazo binafsi naziona ni kua na apointment nyingi za kutoa hela kwa mfano nyumbani..labda kwa baadhi ya watu wangu wa karibu...
Binafsi ili tatizo linakua sugu na kila nikisema niji-control nashindwa kiasi cha najikuta nna madeni mengi sana mwisho wa mwezi....unaeza kukuta nadaiwa ata laki 3 mpaka mwisho wa mwezi...
Tatizo il linanifanya nakosa ufanisi mzuri kazini na hata kufikia kuona nahatarisha hiki kibarua...
Tafadhali kwa wale wenye ushauri chanya juu ya hali hii naomba ushauri wenu maana maisha yamekua magum ingawa kazi ninayo na mshahara napata
Wasalaam...