So what?????Sio siri tena,now ipo waazi,mamaa wa majanga snura mushi,kamtambulisha rasmi yule anaemvua kufuli lake...huyu jamaa ni vdj hunter wa "maisha club mbeya" haya wale wa vijichooo 😉
Huyo ni nani katika nchi hii?
Sio siri tena,now ipo waazi,mamaa wa majanga snura mushi,kamtambulisha rasmi yule anaemvua kufuli lake...huyu jamaa ni vdj hunter wa "maisha club mbeya" haya wale wa vijichooo 😉
Kuna watu ni wambea, utadhani wewe ndiye uliyekabidhiwa hilo kufuli ulishikilie baada ya huyo Snura kuvuliwa...
Watu kwa kufuatilia maisha ya watu!
Halafu unakuta ni mwanaume ndo kaleta huu uzi
Itabidi JF itenge seva maalumu kwa ajili ya umbea ili iliyopo tuitumie kwa mambo muhimu
kwan ni ajabu ye kuvuliwaa chupiii?????!!!!!
dah...hiyo avatar yako inanikumbusha mbali sana...
ulipokua na mtoto wa kiarabuu au???