Njia kuu yako ndiyo....

Njia kuu yako ndiyo....

Mzee wa Torano

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
519
Reaction score
700
....MCHEPUKO wa wenzako

Kuna hili tangazo la baki njia kuu acha na michepuko anaonekana kibonde a.k.a Kibs
akiwaasa wana NDOA kuucha kutembea NJE ya NDOA zao...mandhari NZIMA ya tangazo lile ni vita dhidi ya UKIMWI na VVU

Sasa basi kume kuwa na Magroup mengi sana ya WhattsApp yameanzishwa mengi yakiwa watu wa humu humu JF
hasa humu MMU na kule CHIT CHAT kwa kweli huko yanayoendelea ni kushawishiana kutoka NJIA KUU na kuingia MICHEPUKENI.... wadada na kaka wengine wakiwa katika MAHUSIANO tena ya NDOA ...wanashawishiana kwa picha na kwa maneno na video za ngono...kwa kuitana baby..swty...kuingia MICHEPUKENI ..hofu yangu ni kuwa kama MUMEO au MKEO yuko ktk hayo magroup tegemea siku yoyote atachepuka au kaisha chepuka...watataniana katika GROUP lakini mwisho wa SIKU wanahamia INBOX

Angalia mienendo ya mkeo au mumeo.

UKIMWI UKO NA WENYE VVU wako...

Mzee wa Torano anaunga mkono #TeamRafiki
 
kubaki njia kuu ni ishu...
mj73fk.gif
 
Last edited by a moderator:
"Nibaki njia kuu mimi Garimoshi!" Msemaji Kasema
 
Back
Top Bottom