Kuchat kwenye mtandao mara baada ya kurudi nyumbani au kama una kazi za ofisini ambazo inakulazimu uzifanyie nyumbani. Ni vyema kumuomba mwenzi wako ruhusa kama hatajali kabla ya kukurupuka na...
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
Una dada yako, alafu rafki
yako anataka kumuoa lakn
hajaongea nae, anataka
umpe namba yake ya simu
ili aanze kufunguka kwa
dada yako.
UTAMPA AU INAKUAJE?
(kujifunza hakuna mwisho
ukiona...
Habari wana MMU
Ushauri wenu unahitajika wapendwa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Mimi ni mwanamke wa miaka 30, nimeolewa ndoa halali na nina mtoto mmoja. Kinachonifanya mpaka...
Wanawake katika harakati zao za kuchuna na kuhongwa wanatumia njia nyingi japo wapo wengine ambao huomba hela moja kwa moja ila wengine hutumia lugha ya picha mfano
1.Nimemuona rafiki yangu...
Kuna jamaa tuko nae chuo tatizo moja kila demu akimwona tu huyu jamaa anapapatika anajitongozesha hata demu flan namsomeaga raman nimnase ashafall kwa mshkaji cjui jamaa ana nn labla ushauri ili...
Habari zenu wapenzi,
Nina kitu kinanchanganya kidogo
Kuna baba mmoja nimemfahamu kama 6 years ago ni mkubwa kwangu me ni kama mwananye wa kwanza hivi,,huyu baba ni mtu ana pesa nyingi na...
Utasikia mwanamke bila haya anasema "Mimi siolewi na mwanaume asiye na gari b`sababu sitaki kwenda clinic kwa mguu" mama yako angesema hivyo ungezaliwa wewe? Utaona na dume zima linaenda ukweni...
Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa...
Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari...
Wapendwa wanaMMU natumaini mu wazima.
Jamani nimekuwa najiuliza sana kuhusu mahusiano. Sometimes huwa nayaona Kama ni Bahati nasibu hivi Kuwa unawezaokota dume au ukapata galasa. Najikuta...
Kama ilivyo kawaida ya wanaume huwa tunamtongoza msichana yeyote aliyetuvutia bila kujali ni mchumba wa mtu au vp basi ndivyo ilivyokuwa kwangu nami nilipata kumpenda binti mmoja na baada ya...
Nilikuwa nasikia kwamba wanawake ambao wamesoma hawaoleki nabisha ila sasa nimeamini ni wabishi, wajuaji hawapendi kukosolewa na wana kujivuna sana bora kuoa binti wa kawaida ambae amepiga div 5...
KAMA NI NJIA NZURI NAWE ICHUKUE IFANYIE KAZI!!
Mama yangu aliwahi kunyanyaswa sana, aliwahi
kudharauliwa sana .wakasema maneno mabaya
juu yake .wakamsemea familia yake.
Waliomsema...
Dunia ya leo hakuan kupenda maada kila demu ana penda pesa je masikini apendwe na nani kama mapenz pesa je tuweke matabaka richman pekee yao na poorman peke yako tell me now my friends
Mara kadhaa mdogo wangu wa mwisho amekua akiniambia, "bro, utakuja kuoa mwanamke kulumbembe!"
Sababu hasa ni hii...
Nimekua na bahati ya kutembea na wasichana wazuri sana na kwa bahati mbaya...