Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kula senene kama una matatizo ya nguvu ya kiume,hawa wadudu ni zaidi ya viagra na konyagi.
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Jamani nimepata kiwewe ,sasa sijui huwa mmekutana nayo kwa wengine ,hadi sasa bado sijaelewa hiri ni tatizo au ni raha ,mdemu huwa anazimia na kupote kupoteza fahamu kabisa ,hii hali kuna aliewahi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wana bodi Natumai muwazima wa afya Mi ni baba mwenye familia na watoto kinachonikwaza kadhaa nilikua na mahusiano na msichana tukiwa utotoni tulikua shule moja mahusiano yalianza toka niko...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanajamvi Habari za kazi Nina swali labda wadada/wamama watatusaidia. Hivi ni kwa nini msichana kabla ya kuolewa anapendana na wakweze to be na ndugu wengine wa upande wa mwanaume lakini mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Linapokuja swala la kujamiiana kwa wapenzi wapya ambao hawajawahi kukutana kimwili tangu kujuana kwao ni mtihani mkubwa. Kwani kila mmoja anakuwa na matarajio tofauti na mwenzake. Yaani hakuna...
19 Reactions
77 Replies
168K Views
Wanawake je mnapenda kulowa na mvua!!?? Unakuta mwanamke anatembea barabaran wakati mvua inanyesha alafu sehemu anayoijali kuikinga na mvua ni kichwa utamuona kajifunika mfuko laini au mwamvuli...
0 Reactions
63 Replies
16K Views
Habari zenu wana MMU, Hapa nimejifunza kitu kuwa siku hizi mapenzi si yakulazimishana, Karibuni Tujadili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikua jana jioni mishale ya saa 2 usiku hivi nilipozama magetoni na mtoto mmoja hivi anasoma veta apa Dodoma nilikua kwenye mishemishe zangu town kufika stendi ya Shabiby nikakutana na mtoto 1...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Jinsi maisha ya sasa yanavyokwenda, wewe kama mzazi unaweza kumpa mtoto wako zawadi gani ambayo daima hatakusahau? Je ni pesa? Hapana. Na Jee Elimu? Labda! Lakini, mama mmoja mjini Nairobi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
If you thought the biggest risk of having sex in public was getting caught, think again. Here are 8 ways outdoor loving has gone wrong. A drunk woman in her 20s stunned passengers and cabin crew...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
http://m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=PUtuMiRvwdo
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Habarini wana MMU. Leo ninalo hili swala ambalo nafikiri ni tatizo kwa walio wengi na nafikiri hilo ndilo linaloleta shida kwa wapendanao,shida ya kujua ikiwa mpenzi wako anakupenda au ufanye...
5 Reactions
80 Replies
16K Views
If it is me, I would walk on Atlantic Ocean to get her lol! Hasheem go for this! Brazil's tallest teen is set to become the world's loftiest bride at 6ft 8in after her 5ft 4in fiance popped the...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa...
2 Reactions
117 Replies
16K Views
:A S angel:DENDA NA FAIDA ZAKE:A S angel: Hebu tujadili faida za denda katika mahusiano ili waliokuwa hawajui, watambue faida zake. maana wengi wanaona uchafu yaani hawaeleweki.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nadhani mtakumbuka wiki mbili zimepita tangu nilipowaeleza kisa cha yule rafiki yangu na mchumba wake ambaye ni mwalimu huko Moro! Baada ya kupokea maoni na ushauri wenu wanajamvi;hasa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Inaamini kwamba urembo wa kutoga sehemu za mwilini zilianzia kwa waafrika lakini pia si kutoka tu hata kujichora maarufu kama Tatoo zilianzia Africa, lakini walipokuja watu weupe walitufanya tuone...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Mbinu ya kuwa mwaminifu na mpenzi mmoja ni ipi?
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndugu zangu habari za leo. Poleni na mihangaiko. nawaombeni tupumuzike kwa kujadili hili swala manake mimi mwenzenu linanichanganya san. Nauliza hivi ikitokea mwanaume nyumbani kwenu mnakipato cha...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…