Wanawake na mvua

Wanawake na mvua

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Wanawake je mnapenda kulowa na mvua!!??

Unakuta mwanamke anatembea barabaran wakati mvua inanyesha alafu sehemu anayoijali kuikinga na mvua ni kichwa utamuona kajifunika mfuko laini au mwamvuli kama anao.

Sasa kinachonishangaza ni pale anapita halafu kuna eneo la kujihifadhi kwa muda ila wao wanatembea tu....

Je kuna raha ambayo wanaipata wakiwa wananyeshewa na mvua???
 
Sasa wakifunika na kitambaa si zitalowa????? Au kuna vitambaa havipitishi maji???

Mnavyo vile vya nylon fulan hiv sivijui jina lake . Nimeona baadhi ya kina mama wanavyo...
Ila masista duu....sijuiiii!
 
cjaelewa kinachonilazimisha kumuangalia mwanamke aliyenyeshewa na mvua au anachota maj halafu yammwagikie kwenye makalio au kifuani.
Huwa napenda sana.
Wanamakusudi sana hawa viumbe.
 
usimame wima kiaje

ImageUploadedByJamiiForums1399441064.565302.jpgkama rijali hii lowa lowa hii utasimamisha tu tena wima
 
Back
Top Bottom