Wanawake na lebasi za ulimbwende!

Wanawake na lebasi za ulimbwende!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
Inaamini kwamba urembo wa kutoga sehemu za mwilini zilianzia kwa waafrika lakini pia si kutoka tu hata kujichora maarufu kama Tatoo zilianzia Africa, lakini walipokuja watu weupe walitufanya tuone kama hizo mila zetu ni za kishenzi hivyo tukaziacha na kukimbilia cosmetics zao ambazo zina kemikali nyingi zenye sumu na kuacha kutumia cosmetic zetu za asili ambazo hazina madhara.

Hivi sasa wenzetu weupe hivi sasa wanatumia mimea yenye asili ya Afrikan kutengeneza vipodozi huku wakiiga mila zetu za kutoka masikio na sehemu za mwili na sasa tunawaiga bila kujua kama hizo ni mila zetu ambazo wazungu walituibia.

Hapa chini nitaweka picha za mfano:

pic_1558_1345036407.jpg


large.jpg



ear-piercings-types-pictures.jpg


06omes-l.jpg


original.jpg


ear-piercings-on-girl-right-ear.jpg


1712005_il_fullxfull_340912964_jpg4ab991db2f2fb72321d581c65e224c3b


ear-piercing.jpg
 
Mbona umeweka urembo wa sikio tu?..unaficha nn sasa wakat urembo upo mpk makao makuu ya chama na serikali
 
Zimependeza hizo tundu nyingi,kama huyo mwengine ana zaidi ya 6mmmm mie kabla sija kua mama nilikua na moyo wa kustahmili sasa siwezi kabisaaa dharuba ndani ya mwili wangu hizi 3 zinatoshaa natamani lakini naogopa......
 
Kiruuuuuuuuuuuuuu........... Huu urembo ngoja tu unipite aisee, naogopa sana kutoboa mwili wangu!!!
 
Back
Top Bottom