mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari wana bodi
Natumai muwazima wa afya
Mi ni baba mwenye familia na watoto kinachonikwaza kadhaa nilikua na mahusiano na msichana tukiwa utotoni tulikua shule moja mahusiano yalianza toka niko darasa la nne na yye alikua la 4 tulipoteana baada ya kumaliza shule mi kwa kuenda mbali kutafuta maisha.
Tulikuja kuonana tena wakati niliporudi home kuowa nae alikua ameshaolewa na ameshazaa watoto 2 mwenzake nikaamua kuowa baada ya harusi niliondoka na mke wangu home na kuenda kule nilikokua najiendesha maisha yangu nilikua nikipokea salamu zake na nikionana nae mara chache ninapokuja home kuwasalimia wazazi.
Maisha yalipotulia nikaamua kurudi home kuwatunza wazazi wangu x wangu nae yupo katika ndoa yake na kwa sasa ana wayoto 4 mm niko na wawili. Cha kushangaza ametafuta namba yangu hadi kaipata ameniomba sana tuwe tunaibana maana sote tuko katika ndoa mi nimekataa mwisho wa uwezo wangu kwani dini hairuhusu sms za mapenzi haziishi akikumbushia penzi la utotoni.
Kibaya zaidi amenitumia sms na kusema " kama unampenda mke wako na watoto wako basi fanya ninachotaka mimi kama hutaki nakuahidi haichukui mwezi nitahakikisha kua unaachana na mke wako kwa harama yoyote ile"
Ukweli nimechanganyikiwa nataka nimuekeze wife ika najua hatonielewa nikimuonesha sms?
Na nilazima atahitaji kumjua ni nani na huyu mwanamke ameshaanza mahusiano ya kirafiki na mke wangu.
Nisaidieni kulikwepa hili shimo mke wangu na wanangu nawahitaji sana na kutejeleza agizo lake siwezi kwa kuihofu adhabu ya mungu siku nikifika kwake.
Nifanyeje?