Ilinitokea one day alizirai kabisa hajitambui bahati nzuri kulikua na glucose nikamwekea ikasaidia tu kustuka so niliita tax mara moja nikampeleka nearest health centre akaenda kupata bed rest ya two hours wakamtundikia drip mbili za maji na kumpima presha. Hapo ni saa nne usiku ndio anaruhusiwa na kwao ni Mbagala mwisho tulipo ni Ubungo.
Mh! What a coincedence!Duh ,na huyu kwao ni mbagala ukielekea chamanzi:suspicious:
Jamani nimepata kiwewe ,sasa sijui huwa mmekutana nayo kwa wengine ,hadi sasa bado sijaelewa hiri ni tatizo au ni raha ,mdemu huwa anazimia na kupote kupoteza fahamu kabisa ,hii hali kuna aliewahi kukutana nayo ,au anamatatizo ?
hahahahaha mkuuu atakuwa ndio huyohuyo!!!!dedication KAFIA GHETODuh ,na huyu kwao ni mbagala ukielekea chamanzi:suspicious:
Kafia Getho-HUSEIN MACHOZI UKUBURUDISHE WAKATI UNASUBIRI MAJIBU.
Kafia Getho-HUSEIN MACHOZI UKUBURUDISHE WAKATI UNASUBIRI MAJIBU.