gwaitolo
Member
- Nov 22, 2010
- 29
- 15
Wanajamvi Habari za kazi
Nina swali labda wadada/wamama watatusaidia.
Hivi ni kwa nini msichana kabla ya kuolewa anapendana na wakweze to be na ndugu wengine wa upande wa mwanaume lakini mara aingiapo ndani kwanza wadada wanaanza kujihami, na sehemu kubwa ya wadada na wakwe wa kike/wifi zao wanakuwa na ugomvi usioisha na kutafutiana visa.
Kila siku kwa mke ndugu wa mwanaume wana makosa laakini ndugu wa mwanamke hawana makosa ni " watakatifu" siku zote. Naomba maoni yenu.