Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000


Linapokuja swala la kujamiiana kwa wapenzi wapya ambao hawajawahi kukutana kimwili tangu kujuana kwao ni mtihani mkubwa. Kwani kila mmoja anakuwa na matarajio tofauti na mwenzake. Yaani hakuna anayejua kwa usahihi kwamba mwenzake anapenda afanyiwe nini ili kupata ashki ya kushiriki jambo hilo, lakini wanawake wengi ndio ambao hulichukulia jambo hilo kwa uzito mkubwa kiasi kwamba, kama mwanaume asipomudu kuwa mtundu kitandani, nafasi yake kwa mwanamke huyo inaweza kuwa finyu sana labda tu kama atakuwa amempendea pesa…

Hapa chini nitaeleza makosa yanayoonekana madogo yanayofanywa na wanaume kitandani
wakutanapo na wapenzi wapya ambayo wanawake huyapa uzito mkubwa:1. Kumuandaa

Kumuandaa mwananamke sio pale muwapo kitandani tu, la hasha, maandalizi huanzia katika mazungumzo ili kumuweka katika mood. Hapa mwanaume anatakiwa aongee na mpenzi wake kwa lugha nzuri, kwa maneno matamu na yenye mahaba. Atumie muda mwingi kuzungumza naye, asiwe na haraka kuanza kufanya tendo. Mazungumzo yahusu masuala ya uhusiano ukiwemo upendo. Busu lililotulia na sio la papara linatajwa kuamsha hisia za mwanamke kushiriki tendo, lakini pia mwanaume anashauriwa kuwa msomaji mzuri wa hisia za mwanamke ili kujua ni eneo gani akimgusa kwa kumpapasa mwili wake unasisimka. Kwa mwanamke kufanya mapenzi sio kile kitendo cha kuingiliwa, bali ni kitendo cha kumuandaa kiakili na kimwili ili awe kwenye mood ya kushiriki jambo hilo. iwapo mwanaume akili yake itakuwa inalenga tu kile kilichopo katikati ya mapaja ya mwanamke na labda matiti yake, basi hapo mwanamke atamuona sio kabisa, yaani hatoweza kumfikisha kileleni.2. Unadhifu

Hakuna kitu kinachowakera na kuwakwaza wanawake kama mwanaume mchafu hususan wakati wa kujamiiana. Hilo linaweza kumfanya mwanamke asifikirie tena kufanya tendo na mwanaume huyo. Unakuta mwanaume ananuka kikwapa au amevaa chupi wiki nzima bila kuifua na akiivua eneo la chini ya kitovu lote linanuka au ana kucha ndefu tena chafu na zina ncha kali kwenye kona (sharp edge) kiasi kwamba akimpapasa mwanamke zinamkera badala ya kumpa ashki. Akipumua mdomo unanuka, yaani akimpiga busu mwanamke anamkata stimu yote ya kufanya tendo hata kama alikuwa tayari. Inashauriwa mwanaume kuoga na kupiga mswaki kama hana uhakika na harufu ya kinywa chake, la sivyo anaweza kutumia chewing gum za kuondoa harufu mbaya mdomoni kabla ya kukutana na mwanamke na pia kukata kucha na kuondoa ncha kali zile zinazojitokeza pembeni ya ukucha ili zisimkere mwanamke wakati wa kumuandaa……3. Mapenzi ya vurugu na yenye kuumiza

Tukiacha tatizo la kukerwa na harufu na kucha, lakini pia wanawake hawapendi mwanaume anayetwanga nje ndani wakati wa kufanya mapenzi kama vile anachimba dhahabu. Wanawake wanapenda mitwango yenye staha. halafu itokee mwanaume huyo awe ana kucha ndefu zenye ncha zilizojitokeza pembeni, kisha awe anautumia mkono wake kumpapasa mwanamke sehemu mbalimbali za mwili wake huku akiendelea kutwanga kwa fujo……..Aaaaaaagh!!

Asije akatarajia mwanamke huyo akatamani tena kujaamiana naye, labda kuwe na kitu kingine anachokitafuta kwa mwanaume huyo na siyo mapenzi. Kuna baadhi ya wanaume hupenda kuchezea chuchu za maziwa wakati wa kufanya mapenzi kwa kuziminya kwa nguvu au kung'ata maeneo mbalimbali ya mwili wa mwanamke kwa nguvu. Mwili wa mwanamke uko laini laini na unatakiwa ashikweshikwe kwa makini na kwa staha. Hakuna ubaya kumng'ata ng'ata mwanamke kimapenzi (love bite) hapa na pale lakini inashauriwa kuchunguza kama anafurahia kitendo hicho kwa kumwagalia usoni, akiona anaonyesha sura ya kukereka kwa maumivu, basi inashauriwa kuacha na kubadilisha kwa kujaribu kitu kingine kwani wanawake wana maeneo mengi sana ya kuamsha ashki, na akimpatia atamsikia mwenyewe akiweka msisitizo kwamba aendelee……4. Kimya mno ….. Au kupiga makelele

Wanaume wengi hupenda sana mwanamke anapopiga makelele pale wafanyapo mapenzi lakini pia wanawake hupenda kuona kama mwanaume naye anafurahia tendo kama anavyofurahia yeye anavyofurahia. kama mwanaume ni mkimya anapofanya mapenzi yaani haongei chochote yeye anatwanga tu, mwanamke anaweza kujiuliza kama mwanaume huyo anafurahia tendo au la. Wakati mwingine ile sauti ya kupumua kwa sauti itolewayo na mwanaume wakati wa kufanya mapenzi inaweza kuwaridhisha baadhi ya wanawake, lakini wengine wanapenda kusikia mazungumzo kutoka kwa mwanaume. Iwapo mwanaume atapotelewa na maneno kutokana na kusikilizia utamu wa tendo inashauriwa japo ataje jina la mwanamke hata mara chache ili kumfanya mwanamke ajue kuwa akili na mawazo ya mwanaume huyo yapo kwake.

Hapa naomba kuweka angalizo…. kama mwanaume ni mtu wa kuongea sana wakati wa kufanya mapenzi anaweza kumpotezea mwanamke umakini wa kuvuta hisia ili kufika kileleni. Kwani kuna baadhi ya wanaume huwauliza wanawake wanaofanya nao mapenzi maswali mengi yasiyo na maana.. "Unauonaje huu mtindo." "Unajisikiaje nikikushika hapa." "Je ninafanya vizuri na huumii." Lo lo lo lo loooooo….Huna haja ya kuuliza maswali yote hayo, kwani mwili wake unakupa ushirikiano sasa maswali yote hayo ya nini….! Najua hakuna ubaya kumuuliza mwanamke kama anajisikiaje au kama unavyofanya ni sahihi kwa maana kama mtindo unaotumia haumuumizi, lakini hilo hufanyika katika hatua ya mwanzo, sio pale mchezo umekolea unaanza kuuliza maswali, unakuwa unamkera tu…… Funga mdomo wako na uendelee na shughuli.5. Kulazimisha Oral Sex

Nikisema orol sex, nadhani mnaelewa. Kuna baadhi ya wanaume hupenda kuchezewa sehemu za siri au kunyonywa. Si vyema kumlazimisha mwanamke kunyonya bila ridhaa yake. Kama anapenda kufanya hivyo mwache aamue mwenyewe na sio umshike tu kichwani na kumuelekeza yalipo maumbile yako. Kama mwanamke anapenda kufanya hicho kitendo mwache afanye mwenyewe na hahitaji kuelekezwa..6. Kumaliza haraka au kuchelewa kumaliza

Najua wanaume watasema "hii ni ‘too much.' Kumaliza haraka ni shida na kuchelewa kumaliza pia ni shida, sasa tushike lipi…..!"Nataka muelewe, kama inakuchukua dakika mbili kumaliza, hilo ni tatizo kaka yangu, katafute msaada wa kitabibu uondokane na fedheha kabla ya kuparamia mwanamke. Kwa wanawake wengine inaweza isiwe ni tatizo iwapo utamuandaa vizuri kabla ya kumuingilia ili kama ni kumaliza mmalize pamoja hivyo kutogundua tatizo lako labda..! lakini kama sio mzuri katika kumuandaa mwanamke, linaweza kuwa tatizo na ukajikuta anakudharau baada ya kumaliza tendo… (Najua kwamba siku ya kwanza kukutana na mpenzi mpya inaweza kukufanya ukamaliza haraka kutokana na kuhemkwa, lakini basi jitahidi mara ya pili uende sawa usije ukamaliza haraka tena…..).

Lakini pia wanawake hawakuumbwa kwa ajili ya mashindano ya mbio za kufanya mapenzi. Nakubali kwamba wapo baadhi ya wanawake wanahitaji muda zaidi ili kufika kileleni. Lakini kama itachukua dakika 45 mpaka saa moja bado unatwanga tu, angalia usije msababishia mwenzio michubuko katika sehemu zake za siri. Inatakiwa kuonyesha ushirikiano katika jambo hilo zaidi ya kujipendelea mwenyewe……!7. Hutupi kifanyio baada ya kumaliza…!

Kutupa kondom uliyotumia wakati wa kufanya mapenzi ni kazi yako na si kazi yake. Sio uungwana umemaliza kufanya naye mapenzi kisha unamwagiza akatupe kondom uliyotumia. Lakini pia sio busara kuiweka chini na kuiacha ikichafua sakafu. Haijalishi mko guest house, nyumbani kwako au kwa mpenzi wako, kinachotakiwa ni kuonyesha ustaarabu. Ni nyema ukaivua na kuiviringisha kwenye toilet paper, karatasi au kipande cha gazeti na kuiweka mahali pazuri kabla ya kwenda kuitupa mahali panapostahili………. Vinginevyo mpenzi wako atakuona wewe sio msafi na siyo mstaarabu………….
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Hii mada kisa umeandika Mtambuzi haitokuwa ishu ila angeandika mtu mwenye damu ya kunguni kama Lara 1 ingekoselewa mwanzo mwisho!!!!!!!!!

Msimamo wangu ni kuwa hii theory yako ITS A FALLACY!!!!!!!!!!!!! Not applicable at all!!!!!!!!!!!!!!
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Hii mada kisa umeandika Mtambuzi haitokuwa ishu ila angeandika mtu mwenye damu ya kunguni kama Lara 1 ingekoselewa mwanzo mwisho!!!!!!!!!

Msimamo wangu ni kuwa hii theory yako ITS A FALLACY!!!!!!!!!!!!! Not applicable at all!!!!!!!!!!!!!!
lara 1 kwa wale wapenzi wa ngono za fujo hii haipandi kwao, kwa hiyo nakubaliana na wewe..................LOL
 
Last edited by a moderator:

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Hii mada kisa umeandika Mtambuzi haitokuwa ishu ila angeandika mtu mwenye damu ya kunguni kama Lara 1 ingekoselewa mwanzo mwisho!!!!!!!!!

Msimamo wangu ni kuwa hii theory yako ITS A FALLACY!!!!!!!!!!!!! Not applicable at all!!!!!!!!!!!!!!
Halafu aliyesema mimi sikosolewi hapa ni nani?
Mbona watu wananipa makavu na ninanywea tu mara nyingi.......

Unanivika kilemba cha ukoka bana.................. lara 1
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
lara 1 kwa wale wapenzi wa ngono za fujo hii haipandi kwao, kwa hiyo nakubaliana na wewe..................LOL
Well kifupi ni kuwa Mchagua Jembe si Mkulima!!!!!!!!! Mtu kama unaugwadu wa kutosha huwezi kuanza kukagua kagua, huyu kaoga kweli? Boxer safi hili kweli, kucha mbona ndefu? Ananipapasaje kwa nguvu au taratibu?, ananibinuaje kwa nguvu au taratibu? Vuzi mbona halijakatwa? Romance nusu saaa(Hadi unajiuliza anafunction kweli huyu?) Na ukimalizia badala uskumbukie uroda unakurupuka condom iko wapi? iko wapi? KWELI!!!!!!!???????????

Kifupi kama kuna chemistry none of that matters ila kama ni kujifosi lazima ugundue each and every one of those factors.
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Well kifupi ni kuwa Mchagua Jembe si Mkulima!!!!!!!!! Mtu kama unaugwadu wa kutosha huwezi kuanza kukagua kagua, huyu kaoga kweli? Boxer safi hili kweli, kucha mbona ndefu? Ananipapasaje kwa nguvu au taratibu?, ananibinuaje kwa nguvu au taratibu? Vuzi mbona halijakatwa? Romance nusu saaa(Hadi unajiuliza anafunction kweli huyu?) Na ukimalizia badala uskumbukie uroda unakurupuka condom iko wapi? iko wapi? KWELI!!!!!!!???????????

Kifupi kama kuna chemistry none of that matters ila kama ni kujifosi lazima ugundue each and every one of those factors.
Sasa nimekupata.......

Huku Pwani kuna samaki maarufu anaitwa NG'ONDA, kama akipikwa hapo hutamani hata kumla kutokana na jinsi harufu yake inavyokera, lakini wanaompenda samaki huyo utawakuta wakitokwa na udenda. Ni sawa na Jibini (Cheese) iitwayo GORGONZOLA, huwezi hata kuisogeza puani kwa harufu yake mbaya, lakiini ukikutana na walaji wa Cheese hiyo, hususan Wataliano, hadi wanajilamba....

Nakubali kwamba, wapo ambao wakishikwa na mihemko ya kufanya ngono hawajali hata kwenye mtaro wa maji taka wao wanamalizia hapo hapo, lakini wapo ambao ni sensitive kidogo na wana staha linapokuja swala la kujamiiana, na ndio hao niliokuwa nawazungumzia. Wao huchukulia mambo kwa umakini maana kwao, kujamiiana ni zaidi ya burdani na hivyo lazima yafanywe maandalizi stahiki.............LOL
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,085
2,000
Mapenzi ya kukopy kwa wazungu hayo tena wazungu wa westminister siyo wazungu wa ufaransa,marekani kwani wazungu kama mtaliano unafanya hivyo yupo bao la tano!Mswahili anayefanya mapenzi hayo ni wale dad that dad this!Nina valeur zangu Mtambuzi na lara 1 kaiva kuna kupapasana kweli?mtapapasa baada ya kumaliza kihu!kwenye goli la tatuuu!hapa unatafuta hisia ya kuoiga goal la 4-5!
Hila kwa vitu vya usafi generally nisawa naunga mkono hoja ila kuhusu miguno inategemea yeye akikuuliza hapa unaenjoy siinabidi na wewe umuulije hapaje?na hapa je?Tena usisikie katika vitombo vyote hakuna kama nje ndani nje ndani!sikia kwa mwenziyo kwani hii staili ni world wide hata wazungu wanaanza na hii zingine zinafata chezea nje ndani weye!!
 
Last edited by a moderator:

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
15,959
2,000
Mtambuzi umenena kuliko maelezo!
kimsingi game la kwanza kwa kweli huwa ni la kichunguzi kuliko kuinjoi zaidi
na hasa ukizingatia feirst impression stays enh?
hata wanaume wana vitu vyao!
kwa mtu mnayefahamiana labda ndio mnaweza kuplay tht rough like anything goes,ila kama ndo mpango wa usaili ah bana vigezo na viwango vinatakiwa vipimike shem!
usafi na kinyume chake ni turn off na turn on ya kimsingi sana!
sijui lakini mi husema kila siku hapa ridhiko la kihisia la mwanadamu ni kitu tata sana!
mfano mwingine zivu likiwa jingi ndo mwake,wakati wengine zivu ni dalili ya mtu kutojijali!so akiliona tu umevua pichu anakuwa doro!
mwingine mwanaume asipomuuliza imeingiaje ye anaona kasahauliwa mwingine anataka mtu apige tu kazi majibu atayapata huko huko kusini mwa nchi!
mwingine anapenda mwanaume atukane mfano zile za k.........ako na nini mwingine ukisema tu hivo hujamwezhimu mzazi wake
basi ah mi nachoka hasa na huyu kiumbe anaitwa mtu!tena hasa kwenye hili eneo la mifyonzo ahh!
well done still ,mi nakukubali sana shem kwa hizi tafiti zako!u rock!
 
Last edited by a moderator:

Gunda66

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
518
500
kwa hpo sina pungufu hata moja,, by da way inawezekana nachelewa kumaliza,, but she likes dat way LOL:smiling:
 

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
225
Hii mada kisa umeandika Mtambuzi haitokuwa ishu ila angeandika mtu mwenye damu ya kunguni kama Lara 1 ingekoselewa mwanzo mwisho!!!!!!!!!

Msimamo wangu ni kuwa hii theory yako ITS A FALLACY!!!!!!!!!!!!! Not applicable at all!!!!!!!!!!!!!!
Hahahahahaaa
 

promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,708
1,195
Anko wambieeeeeeeeee haoooooooo!! manake umenigusa ndipoo mtu anakuparamia kama anaendesha farsi au ana twanga
kama kapewa mpunga,akikusogelea hilo jasho lake ndio usiseme unahisi kuzimia,ah lakini mie nakwambia leo mwenzangu naumwa hata siwezi kufanya chochote tena wacha niondoke naona kama ntazidiwa,manake hali ya hewa chumbani ishaharibika akishavua viatu tuuu na shati unataka kufa........
 

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,618
1,225
Mapenzi ya kukopy kwa wazungu hayo tena wazungu wa westminister siyo wazungu wa ufaransa,marekani kwani wazungu kama mtaliano unafanya hivyo yupo bao la tano!Mswahili anayefanya mapenzi hayo ni wale dad that dad this!Nina valeur zangu Mtambuzi na !lara 1 kaiva kuna kupapasana kweli?mtapapasa baada ya kumaliza kihu!kwenye goli la tatuuu!hapa unatafuta hisia ya kuoiga goal la 4-5!
Hila kwa vitu vya usafi generally nisawa naunga mkono hoja ila kuhusu miguno inategemea yeye akikuuliza hapa unaenjoy siinabidi na wewe umuulije hapaje?na hapa je?Tena usisikie katika vitombo vyote hakuna kama nje ndani nje ndani!sikia kwa mwenziyo kwani hii staili ni world wide hata wazungu wanaanza na hii zingine zinafata chezea nje ndani weye!!
Kaka salama???!!
 
Top Bottom