Nawezaje kubaki na mpenzi mmoja tuu?

Nawezaje kubaki na mpenzi mmoja tuu?

Basi humpendi huyo ulienae...
Chunga tamaa mbaya..
kwa umri wako unatakiwa kutulia na kuandaa stage nyingine ya maisha.


af nyie wakina mwinuka kazi yenu kuumiza watu tu...Abel Mwinuka wewe Wille Mwinuka nawe ndo hivyo hivyo..mnahitaj maombi
 
Angalia moyo wako unakutuma nini na hamu yako inahitaji nini! Huku jamvini kuna watu wamepinda wakapindika unaweza kuambulia matusi kebehi na kejeli
 
kazi ndogo tu kaka omba KUFUMANIWA.na huyo mpenzi wako unaempenda au wamiliki wa hao wasichana wengine wa pembeni.mshikeshike + aibu utakayoipata hautatamani tena kuwa na michepuko...utatulia tuliiiiiiii...
 
Piga pumbu mwananguu. Mm mwenyew nataman sana vya nje. Nilirusha ndoana kwa charminglady lakin kachomoa angejaa tu tayar angekwisha. Twende kaz kaka tupo sambamba tunapeana kampan ya kugegeda hahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kijana wa kiume around 30, nina mpenzi wangu tunapendana sana lakini nashindwa kujikinga na visichana vinavyojisogezasogeza kwangu, nishaurini nifanyeje kuishinda tamaa ya mwili?

Unajua unaposema "unashindwa kujikinga" unakuwa unamaanisha nini kijana?
 
Mimi ni kijana wa kiume around 30, nina mpenzi wangu tunapendana sana lakini nashindwa kujikinga na visichana vinavyojisogezasogeza kwangu, nishaurini nifanyeje kuishinda tamaa ya mwili?

Kwani huyo mpenzi wako ni wa kiume au wakike. Na ana jinsia gani ya kike au ya kiume. Jibu kwanza hayo maswali dogo.
 
Piga pumbu mwananguu. Mm mwenyew nataman sana vya nje. Nilirusha ndoana kwa charminglady lakin kachomoa angejaa tu tayar angekwisha. Twende kaz kaka tupo sambamba tunapeana kampan ya kugegeda hahahaaaaaa

kwasababu gani alikutosa
 
Last edited by a moderator:
hata ningekuwa mimi ningechomoa..........
wwanaume huna staha ya maneno hata kidogo........
hadi thread yako ilifutwa

hahahaaa! Heaven on Earth siwez kulogwa kutafuta mwanamke humu ile ilikuwa jokes tu najua hata yeye alijua kuwa jokes. Humu tunawatafuta wa kuwagegeda tu na sio wa kuoa
 
Last edited by a moderator:
Jizoeshe kuhudhuria misiba ya waliojiongeza mbele kwa kuendekeza michepuko soon hata huyo mmoja utaogopa kuwa nae!
 
Kwanza watakiwa ujitambue unataka nini katika maisha yako. Jipange sasa kwani maisha ya kutizama hiki mara kile ukadhani ndio mtindo wa kisasa utakuvurugia profile yako Ki maisha na ukiwa na ndoa ndio utaurowanya mbaya kabisa ni chukua tahadhari kwanza ya kiafya alafu kumbuka hawa mabinti ni wengi sana wazuri Je wote watakuwa na tabia nzuri ? wengine labda wapo kuwa na wewe kwakuwa unakitu (uzuri,pesa na kadharika) sooo jichunguze kwanza wewe na uangalie mbele. Kumbuka kila mwanadamu anatamaaa sasa jiulize taama ikikuzidi basi wewe ni mdhaifu sana sana kuliko. Alafu jiulize hizo tamaa je mwenzio umpendae akifanya hivyo Je utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom