Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.
hapana usikimbie kwani huyo ni masiha. Hata yosefu yalimtokeaMwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.
Umenipa hasira za kufa mtu, halafu ndo ukute kila saaa nilitee ndimu, sili maharage nataka nyama, siwezi kwenda clinic na daladala nikodishie tax...Mwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.
Mwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.
Mwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.
hongera kwa kupata mzungu aiseee... lea tu bwana eti kitanda hakizai haramu yawezekana babu yako alikuwa mjerumani