Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
kula senene kama una matatizo ya nguvu ya kiume,hawa wadudu ni zaidi ya viagra na konyagi.
ingelifaa kuweka dalili au thibitisho!! maana baadhi yetu haitoshi !kula senene kama una matatizo ya nguvu ya kiume,hawa wadudu ni zaidi ya viagra na konyagi.
Wafungwe kwenye package kama ni dawa.
hahahahhha
capsosi
Ukitaka kuongeza nguvu za kiume kunywa maji ya betri na cement tu utapiga hadi bao 17,hailali masaa 8..loading error....
Ingekuwa hivo wakina Bishanga tungewakoma....
Kwa kauli hii Evelyn Salt, Bishanga ulishamjaribu na performance ikawa chini!!Hahaa Bishanga kakulia Dar mambo ya Senene hayajui bwana!
itasaidia wengi.