Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu...
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha.
Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na...
Uyu mrembo ni mkali sana nilimuona nikaoneshe interest nae nikaomba number akatoa ilikuwa dukani nikamcheki kumuelekeza akawa kama sitaki nataka
Yaani hajatoa jibu la Moja kwa Moja ila...
Kila mitego ninayoitega ninase japo bint wa kunifariji na hili life la bongo naishia kuambulia maumivu bora hata Afande Panya Magawa aliamua kuishi kama padri tu mpaka pale Mungu alipomchukua...
Habari wanaJF
Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi.
Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta...
Habari ndugu yangu. Bila shaka upo salama kabisa na Afya tele . Pole kwa misukosuko ya hapa na pale katika kulisaka tonge 🙏
Waungwana maisha ni safari ndefu ila sio kwa Kila mtu inakuwaga ndefu...
Habari za siku mingi wanajamvi,
Ninamuda mrefu nimepotea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza funguliwa mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu...
Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;
1. Leo kwa mara ya...
kupenda kunaumiza kama hujawahi kupenda na usitamani kupenda kwa kweli ..na mpenzi wangu kwa kweli mtoto mashalaaa kaumbika na kajaliwa kiukweli yeye ananipenda sana kuna siku alinitamkia chochote...
Habari za weekend wanaMMU
NI hivi.
Mwaka 2015 nilianza mahusiano na single maza mmoja hapa mkoani. Wakati huo alikuwa anafanya kazi kama mpishi kwenye mgahawa mmoja. Japo alikuwa single maza umri...
Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.
Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa
Aisee...
Nipeni shule hapo...
Nimekuwa kwenye wakati mgum sana wa kufanya tafiti zangu binafsi kwa muda mrefu sasa kuhusu kujua ni watu wa aina zipi wanaongoza kwa usaliti katika ndoa zao kati ya Mwanamke (mama wa nyumba) na...
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana...
Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo.
Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika...
Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na...
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.
Amesema......
"Kupishana katika ndoa ni kitu cha...
Naomba kama Mama watoto mmemfanya kuwa mods kisiri siri...tujue...haiwezekani kabisa...
Kila uzi wa kutangaza nafasi miongoni mwa nafasi 3 za zilizobaki za kuitwa MKE na mimi...ninatangaza nafasi...
Wakuu habar bila poteza muda, mada/ uzi huu nime target kwa wanaume tu wanawake piteni mbali kabisa. Kwa miaka ya sasa kipi kianze hapo ndoa au mimba??
Uzi tayari