A wife is needed

capernaum

New Member
Nov 18, 2023
1
1
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha.

Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na ninajishughulisha na biashara kadhaa.

Binti naemtafuta: Asiwe mnene, asizidi miaka 30, asiwe na mtoto, elimu ya chuo & asiwe mlevi.

Kwa maelezo zaidi karibuni PM.
 
Kila la heri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom