Habari zenu wana Jf. Najua kuachana kwa wapendanao ni jambo la kawaida kwa dunia ya sasa. Ulipokuwa katika uhusiano na yule ulieachana nae alikuwa anasoma au hana kazi. Mlipoachana rasmi baadae...
Wana jf yamenikuta mazito muda huu narud home nikitokea Ofisini sasa nimepnda daladala... nimekosa siti nikajikuta nimesmama sasa ndugu zangu simnajua mambo ya kusmama na kushika bomba nikajikuta...
Watu wamekuwa wakisema ooh mwanaume PESA na sio UZURI.Hatukatai,ila katika mapenzi ya biashara mwanaume PESA ila katika mapenzi ya kweli mwanaume UZURI,au mnaonaje wana mmu?
Mimi ni dada naishi na kufanya kazi Dar es Salaam, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu...
Wadau naomba kuuliza ipi ni aina sahihi ya kufanya mapenzi na mwanamke. iwakiwa unamtia polepole kwa kubembeleza au unamtia kwelikweli kwa nguvu zote hadi anaishiwa nguvu hata za kucmama na...
Nimetafakari, nimejiuliza, nimetafiti sana sijapata sababu mahsusi kwa nini watu wanatafuta michepuko na kuacha njia kuu. Mimi binafsi sifagilii kabisa michepuko. Je, nini hasa sababu kuu ya...
mwenzenu nimetokea kutamania sana kumpata msichana ambaye hatanikubali haraka pindi nikimtongoza,,lakini imekuwa tofauti sana na wadada ninao kutana nao,,sijui ni kwanini yani wengine unaweza...
Mimi ni Daktari wa hospitali moja kubwa binafsi hapa Dar es salaam mzaliwa wa kanda ya ziwa na huu ni mwaka wangu wa pili kazini. Nilikua na rafiki yangu sana ambae sasa ni marehemu. Huyu rafiki...
Nina miaka 23,
Nipo Shinyanga
Elimu yangu ni kidato cha sita ndo nimemaliza siku chache zilizopita.
Natafuta rafiki wa kike,ambaye kama tutaelewana kwa baadae tunaweza tukafanya makubwa...
wanyama hawana kauli ila wana jua ukweli,wanyama wanamapenzi ya kweli,wanyama wanajua kulea,wanyama watafutaji kila mnyama anaikubali asili yake mimi njiwa wamenifundisha sana mapenzi
Mwanaume anapaswa kujua silaha yake kubwa kabla hajamfuata mwanamke ambaye hamjui au hawafahamiani wamekutana kwenye basi,daladala au njiani kwa nia ya kutaka kuanzisha uhusiano nae
Mwanaume...
Kizazi hiki cha utandawazi kimekuwa kigumu kweli kudumisha mahusiano. Kuna sehemu ambazo utandawazi umefanya mabadiliko makubwa sana. Kama kwenye shughuli za kiofisi, kibiashara na nyinginezo...
Sielewi kama kuna sababu ya kitabibu katika kugegeda, wapo wembamba, wanene, wafupi, warefu, ila mimi huwa nikigegeda mwanamke mnene (turbo) huwa nahc uchovu sana nikishamaliza hata kama ni dk...
utanashati humfanya mtu aonekane tofauti na wengine, utanashati huleta heshima na kupendwa, utanashati huwakilisha utulivu wa akili, ukivaa hovyo utaonyesha wazi kuwa umevurugwa na hujajikagua...