Silaha ya Mwanaume kabla hajamfuta Mwanamke!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,841
Mwanaume anapaswa kujua silaha yake kubwa kabla hajamfuata mwanamke ambaye hamjui au hawafahamiani wamekutana kwenye basi,daladala au njiani kwa nia ya kutaka kuanzisha uhusiano nae
Mwanaume anapaswa kujiamini na kuacha kujiuliza mara mbilimbili , mbona wakati wa kula chakula watu hawajiulizi mara mbilimbili ujasiri wako ndo utakaofanya kumpata mwanamke yoyote umpendae vaa ujasiri wa kumweleza ndani ya mda muafaka . wakati unamfuata fanya ni kama demu wako na mshazoeana sana na usiogope kukataliwa
Ukizingatia ujasiri huu utakuwa unawang'oa kila siku tena watoto wale visu tu.
 
Hahahaaa! Siku zote mwanaume unapaswa kujiamin na uwe na cofidance na lugha nzur yenye kumvutia mwanamke. Hapo utang'oa kila aina ya dem...... Kuna siku nilijiuliza hivi mm ni handsome sana? Mbona kila dem hakatai? Ila kuna dada mmoja ndiyo alinithibitishia kuwa sna uzur wowote ila nyama ya ulimi ndio kila kitu
 
Makomana umejimegea mpaka basi
 
Last edited by a moderator:
Of coz confidence is sexyyy....unakuta jamaa knows what to do na anakukaziaa hadi ukilala u be thinking ehh he got balls huyu huyuuu ndo mwenyewe...
 
Tatizo dhamira yangu huwa inauma sana baada ya kitendo. Kuna wengine wa kupiga na wengine wa kufikiria mbele.
 
Watoto wale visu ndo wakoje hao?mie hapo sijaelewa

Yani wenye ukimwi. wanaochinja wanaume. Ni kama ukisikia mwanaume kiwembe ni yule mwenye storongo kali inayochanachana marinda ya vikojoleo na vijambio vya mabinti za watu
 
Back
Top Bottom