Katika MAPENZI mwanaume UZURI....Katika BIASHARA mwanaume PESA.

Katika MAPENZI mwanaume UZURI....Katika BIASHARA mwanaume PESA.

mashoba

Senior Member
Joined
May 8, 2014
Posts
145
Reaction score
42
Watu wamekuwa wakisema ooh mwanaume PESA na sio UZURI.Hatukatai,ila katika mapenzi ya biashara mwanaume PESA ila katika mapenzi ya kweli mwanaume UZURI,au mnaonaje wana mmu?
 
Jinsia yako ni ipi?
Mwanaume uzuri?kama ni shoga
Mwanaume kazi wewe uzuri uzuri wa nini kama ukuni ni feki
 
Mapenz ya kweli yapo,mtu anampenda mwenzake kadri yeye anavyovutiwa nae,na mapenzi ya biashara ndio yapo mengi.
 
Jinsia yako ni ipi?
Mwanaume uzuri?kama ni shoka?
Mwanaume kazi wewe uzuri uzuri wa nini kama ukuni ni feki

Hii ni kujifariji tu kwa watu ambao hajawah hata kuitwa handsome,lakin katika mapenz ya kweli uzuri unanafasi.
 
Madhara ya mapenzi biashara mmeyaona,mtu anaacha alfu 15 kila siku,jion anakuta ugali dagaa.
 
hapa tukijib wanaume tutakua tunadanganyana!" waje wanawake ndio waseme wanapendaga nn!" .........
A. dollari,
B. dushe
C. uhendisamu!!
D. Vyote
 
Kweli mtoa mada haswaaa swala la GENES za watoto UZURI wa mwanaume ni muhimu si kidogo! Japo UZURI KAMA JOHARI ZA MFALME JUHA HAUWEKI CHAKULA MEZANI! On second thoughts MWANAUME WALLET BANAAAA!
 
Kweli mtoa mada haswaaa swala la GENES za watoto UZURI wa mwanaume ni muhimu si kidogo! Japo UZURI KAMA JOHARI ZA MFALME JUHA HAUWEKI CHAKULA MEZANI! On second thoughts MWANAUME WALLET BANAAAA!

Ningekushangaa kama ungesema mwanaume sura, wakati wewe unaangalia pochi kwanza
 
for me mwanaume kazi, uzuri wake hauna msaada kwangu
 
Uzuri wake haunisaidii lolote na sijawahi kuona mtu akiwa na mwaume mzuri anapewa certfct.......
 
Biashara hiyo

hakuna biashara yoyote hapo kwa sababu huyo anayejua kazi nimempata siku nyingi sana
pia nadhani wewe kazi unadhani ya kitandani tuuu, your very wrong kazi zote ikiwemo kujituma katika maendeleo ya maisha yake
 
Kwa hiyo unapenda pochi sio mtu,bora tunapata ukweli hapa hapa watu wajifunze

Hela napenda sanaaaaaaaaa n' i know how to make it!!!!!!!!!!!
Mwanaume yake kazi aingize kipato uzuri aachie ndege watuburudishe tukiwa park,,,,,,
Mjifunze mjue kama kuna maisha halisi zaidi ya kwenye mtandao
 
Back
Top Bottom