Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,617
Kizazi hiki cha utandawazi kimekuwa kigumu kweli kudumisha mahusiano. Kuna sehemu ambazo utandawazi umefanya mabadiliko makubwa sana. Kama kwenye shughuli za kiofisi, kibiashara na nyinginezo. Lakini linapokuja suala la hii sector ya mahusiano daaaa, utandawazi umeharibu kila kitu. Kiwango cha mahusiano kuvunjika kinaongezeka kwa kasi.