Wana board habari zenu. Hope wote mko powa. Kwa kuanza naomba niwataatifu kuwa kamwe siwezimkuisahau siku ya leo ya terehe 2/5/2014(20:00). Nilikuwa na appoinmnt na demu moja mkali. Baada ya...
Wapendwa wana JF nawasalimu wote, natumai mu wazima.
Kuna jambo lanitatiza nahitaji msaada wa mawazo, yawezekana kabisa muamuzi wa mwisho ni mimi mwenyewe ila nikipata mawazo tofauti itasaidia...
Gone are the days when love was real love..when men loved,cherished and treated there women like queens..when women treated there man like kings..respect and love them unconditionally...I wish...
Twambombooo....
Jamani hili nimeandika kwa experience kabisa, nikaona ni vizuri leo tueleweshane ili isaidie kurekebisha makosa fulani fulani kwa wale watakaokutana...
MADA: Meeting kwa mara ya...
Nimetafakari sana kuhusu hii ratiba kwani mechi zitachezwa saa 4 usiku saa 7usiku na saa 10 usiku, yaani hii ratiba ni balaa maana watu watarudi asubuhi nyumbani..... Kuna baadhi ya memba humu...
Nimekuwa na mahusiano takribani miaka 5 sasa tatizo ni huyu mwanaume wangu ambaye sasa ni mchumba kutokana na familia zote mbili zinafahamu kuhusu uchumba wetu kwa bahati mbaya tunakaa mikoa...
Nakumbuka nilipokuwa darasa la 4 nilitokea kumpenda dada mmoja alikuwa anaitwa Rusi.
Nilihangaika sana namna ya kumpata lakini nilikuwa naogopa kutongoza kipindi hicho.
Ikabidi nimweleze kaka...
Nimekuwa nikisikia watu wenye "fikra finyu" wakiwasema vibaya watu wengine kwa maumbile yao asilia mara kibamia, mara makalio makubwa,mara ufupi,mara sura mbaya, mara ana bwawa la mtera, mara oooh...
Habarini marafiki zangu;
Bado najipanga kuleta somo kwenu wakaka wa mjengo huu nilisema lazima kieleweke mpate somo ambalo litawajenga na kudumisha mahusiano yenu, hasa mnapokuwa katika...
Ndugu natoa onyo hili kwa masikitiko makubwa tena kwa kumpoteza mtoto mdogo asiye na hatia asiyejua baya na jema kwa mateso makubwa aliyoyapata katika kipindi choote alichoishi hapa duniani...
Shocking: Bride Straps Newborn to Gown, Drags Her Down the Aisle
By Bridal Guide | Love + Sex 57 minutes ago
There are so many thoughtful, sweet ways to include your children...
Wana jf mi nina swali jamani. Eti ukiwa na boyfriend ambae kipato chake kidogo zaidi ya chako ukawa unampa hela, unalipia outing na kumpa zawadi ni vibaya?
Je uko ni kumuhonga?
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.
Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa...
Sijapata PM yoyote toka jana baada ya kuweka Tangazo hapa la kumtafuta mchumba wa kike, sijui ni kwa sababu ya vigezo? ok, nalegeza,
Mimi ni mvulana miaka 27 nafanya kazi mwanza na elimu yangu ni...
Ninatafuta mke sifa ninazotaka,
i) Awe ni doctor au ni mwanafunzi wa MD
umri 23-28
ii) Rangi haijalishi ila itakuwa vizuri akiwa maji ya kunde
iii) Umbo saizi ya kati( yani asiwe mnene wala...
Mimi ni mkristo,ni imani yangu,naipenda. Nina ulelewa mzuri wa mambo ya dini,nimejifunza mambo mengi sana kuhusu dini. Pia nimekulia kwenye familia ya kidini sana,nimekulia kwa mjomba wangu ambae...