Naomba mnishauri tafadhali

Naomba mnishauri tafadhali

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
Mimi ni mkristo,ni imani yangu,naipenda. Nina ulelewa mzuri wa mambo ya dini,nimejifunza mambo mengi sana kuhusu dini. Pia nimekulia kwenye familia ya kidini sana,nimekulia kwa mjomba wangu ambae sasa ni kiongozi mmoja mkubwa wa dhehebu moja hapa nchini.

Naweza kusema nina miaka kadhaa sijakanyaga kanisani.

Tatizo langu hasa lililonisukuma niandike ujumbe huu ni kwamba kadri siku zinavyoenda sitaki kusikia kitu kinaitwa kanisa,nachukia sana nikisikia jina kanisa,mbaya zaidi kusikia mahubiri,yani kama ni redio au tv naizima au kubadili kituo haraka sana. Nakasirika gafla nikisikia mahubiri. Mfano leo nilikua kwenye usafiri wa umma,kuna mtu akaanza kuhubiri yani nimetamani nitelemke.

Tatizo hili linazidi kukua,zamani sikua hivi,nilikua napenda sana mahubiri,kwaya,na mambo mengine yote yanayohusu dini yangu ya kikristo. Hata ndugu zangu na marafiki wananishangaa,mbaya zaidi napenda ngono kuliko kitu chochote,nishahatarisha maisha yangu mara nyingi sana sababu ya ngono.

Mambo haya yalianza miaka kadhaa iliyopita ila sasa naona yanaongezeka zaidi..yani imefika hatua baadhi ya ndugu zangu siwezi kuwatembelea wikendi maana ikifika watanitaka twende kanisani kitu nisichokitaka.

Nahitaji msaada.
 
duh hapo kweli pagumu ila tunaambiwa tuamini kwamba Mungu yupo
 
Kama kweli una sadiki ya kuwa wewe ni mkristo basi mpaka hapo unayo imani!! Sasa piga magoti ukemee hiyo roho chafu ya kutokutaka kulisikia neno la Mungu.

Kuwa karibu na marafiki wanaopenda Ibada naamini utabadilika kabisa,..
 
Kuna dalili unazeeka vibaya au naweza sema uzee unakunyemelea vibaya kwanza ulisema kila anayekutongoza unamwona hafai

Sasa hivi unachukia kanisa na unapenda sana ngono wakati huo huo kila anayekutongoza unamwona hafai sasa sijui unangonoka kwa mtindo gani.
Masterkey mimi NAPITA

sio kweli na wala sijawahi kusema hivyo,huo ni uongo wako.. Pili mimi ni me.
 
Last edited by a moderator:
Una pepo....

Ukifanya masikhara utageuka ibilisi mdogo.

Wahi kanisani kwako
 
Mimi ni mkristo,ni imani yangu,naipenda. Nina ulelewa mzuri wa mambo ya dini,nimejifunza mambo mengi sana kuhusu dini. Pia nimekulia kwenye familia ya kidini sana,nimekulia kwa mjomba wangu ambae sasa ni kiongozi mmoja mkubwa wa dhehebu moja hapa nchini.

Naweza kusema nina miaka kadhaa sijakanyaga kanisani.

Tatizo langu hasa lililonisukuma niandike ujumbe huu ni kwamba kadri siku zinavyoenda sitaki kusikia kitu kinaitwa kanisa,nachukia sana nikisikia jina kanisa,mbaya zaidi kusikia mahubiri,yani kama ni redio au tv naizima au kubadili kituo haraka sana. Nakasirika gafla nikisikia mahubiri. Mfano leo nilikua kwenye usafiri wa umma,kuna mtu akaanza kuhubiri yani nimetamani nitelemke.

Tatizo hili linazidi kukua,zamani sikua hivi,nilikua napenda sana mahubiri,kwaya,na mambo mengine yote yanayohusu dini yangu ya kikristo. Hata ndugu zangu na marafiki wananishangaa,mbaya zaidi napenda ngono kuliko kitu chochote,nishahatarisha maisha yangu mara nyingi sana sababu ya ngono.

Mambo haya yalianza miaka kadhaa iliyopita ila sasa naona yanaongezeka zaidi..yani imefika hatua baadhi ya ndugu zangu siwezi kuwatembelea wikendi maana ikifika watanitaka twende kanisani kitu nisichokitaka.

Nahitaji msaada.

Kama hutajali kwani wewe ni dhehebu gani?!Na upo mkoa gani?!Labda tutafute waombaji wa dhehebu lako wakusaidie.
 
sasa ndugu imani unayo nia hauna pole sana mwambie mjomba akuombee kama hiyo dini haipandi jaribu uislamu
 
shetani ananguvu na anawaumiza wasio na imani...
vya giza na mwanga ni tofauti lazima usipende kanisa...subiri roho mtakatifu ashuke akukomboe...
kwa kupata muda wa kuandika hayo dhahiri pepo limeenda likizo
 
sikiliza kaka..kila jalibu lina mlango wa kutokea.bola umejua kosa lako.hebu rudi mbele za mungu jinyenyekeze na kuomba toba mbele zake.maana yeye husamehe.pili jenga tabia ya kusoma biblia hata mara moja kwa siku itakusaidia kujutia yale unayoyatenda.pia sikiliza hata nyimbo za dini zitakujenga kiimani.lakini katika yote hebu onyesha kuchukia hali uliyonayo na matendo yake.kisha dhamilia kwa moyo mmoja kuziacha..
 
Msaada piga punyeto.madai yako unajua mambo ya Mungu ni UONGO,hujui.kuwa katika family ya kidini haukufanyi uwe na urafiki na Mungu,wewe ni nyang'au tu kama mimi.
 
Msaada piga punyeto.madai yako unajua mambo ya Mungu ni UONGO,hujui.kuwa katika family ya kidini haukufanyi uwe na urafiki na Mungu,wewe ni nyang'au tu kama mimi.

Acha utaahira. Uongo wangu unaujua wewe umekua mke wangu ujue kua ni uongo?.
 
tazama hata imekuwa mtu akinirudia mimi yote ya kale yamepita yamekuwa mapya maandiko yasemavyo, piga magoti uombe toba hakuna binadamu asiye na dhambi "Wenye afya hawamuhitaji daktari wanaomuhitaji ni walio wagonjwa , sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu" dah ningekuwa na gitaa hapa ingenoga sana hili li songi
 
Yaani shetwani akitaka kukushughulikia anaanzia maandalizi mbaliiii! Mungu akusaidie aisee.
 
Back
Top Bottom