MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,509
- 42,391
.
VIJANA WA KISASA GROUP
JE UNATAKA MPENZI AU MCHUMBA? Tunaitwa "vijana wa kisasa group" tunajishughulisha na kazi zifuatazo
1.kukutongozea mwanamke unayempenda kwa sh. 10,000/=
2.Kukutafutia mwanamke wa kuoa/kuolewa naye mwenye sifa unazotaka kwa sh. 5000/=
3.Kukutumia sms za kumuomba msamaha mpenzi wako pale unapomkosea kwa sh. 3000/=
4.kukutumia sms za mapenzi za kumtumia mpenzi wako umupendaye kwa sh. 2000/= Utatumiwa sms 60 Kwa siku 7
5.Kukutafutia house girl/ house boy kwa sh. 15,000/=
6.Kukutafutia mwanamke wa kupangisha naye kwa sh. 25,000/=
7.Kukutafutia kazi mbali mbali Km vile gereji, kampuni uwakala, nk kwa. sh. 30,000/=
8.sms za kumtongoza mwanamke kwa sh. 3000/= Tupigie simu/Tuandikie ujumbe mfupi kuja namba 0787524420 nyote mnakaribishwa msiogope.
haya, kazi kwako...!!
Hahahahaaaaa!! Hizi ndio zile ajira milion moja tulizohaidiwa!?
SIFA HIZO NI;
Mrembo mwenye makalio makubwa.
Mkweli
Elimu kuanzia form 4
Umri kuanzia miaka 20
Msafi
Mcha Mungu
Mwanamke Aliye tayari kuanza mahusiano yatakayotufikisha kwenye ndoa anitumie ujumbe (PM)
asante kwa ushirikiano