Ratiba ya kombe la dunia 2014 huo muda huo!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Nimetafakari sana kuhusu hii ratiba kwani mechi zitachezwa saa 4 usiku saa 7usiku na saa 10 usiku, yaani hii ratiba ni balaa maana watu watarudi asubuhi nyumbani..... Kuna baadhi ya memba humu ndani wameifurahia sana hii ratiba. CHONDE CHONDE MICHEPUKO SIO DILI.
 
Sioni kama kuna ulazima wa kuangalia mechi zote hasa hizo za usiku mwingi.
 
Napenda sana mpira lakini huwezi nishawishi saa7 au saa10 niwe bar naangalia nimuache ma watoto pekee yake huo ni udikteta wa mapenzi kwani nalipwa?
 
c mpk tbc wataonesha, nadhani hakuja haja ya kuangalia bar, kila mtu aangalie kwake
Wataalamu wa Michepuko watadai king'amuzi hakina salio, ukiwaambia TBC1 free on air watakwambia hawana hela ya kununulia Umeme wa luku au watakiharibu king'amuzi kwa makusudi...hahahaaaa
 
Mkuu grafani11, mpira nyumbani haunogi..kabisa!!!!!!

ndio maana hata wakati wa mechi za ulaya kuna zile ambazo walikuwa wanaonesha kupitia visimbusi vyetu vya nyumbani..saa tano usiku..loakini bado utatoka ukaangalie na kadamnasi!

Watuachie tu kwa wiki hizi nne...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ni kweli kabisa, juzi kati fainali ya UEFA nilijaribu kuangalia nikiwa nyumbani. Nikiwa peke yangu sebuleni tukiwa tunamalizia dakika za refarii goli la kusawazisha la Ramos lilinifanya nipige kelele ya kushangilia.

Kelele ile iliamsha mke wangu akidhani kuna kitu cha hatari kimetokea, watoto nao wakafuatia kuja sebuleni, kama majirani nao waliamka au la sijui... lakini kwa ukweli kuangalia nyumbani raha yake ufungwe kutakuwa na utulivu lakini kama timu yako inashinda itakuwa kero kwa wanaohitaji utulivu kwa wakati huo....
 
Wataalamu wa Michepuko watadai king'amuzi hakina salio, ukiwaambia TBC1 free on air watakwambia hawana hela ya kununulia Umeme wa luku au watakiharibu king'amuzi kwa makusudi...hahahaaaa

Nimecheka sana,,"wataalam wa michepuko""

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Back
Top Bottom