mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Ninatafuta mke sifa ninazotaka,
i) Awe ni doctor au ni mwanafunzi wa MD
umri 23-28
ii) Rangi haijalishi ila itakuwa vizuri akiwa maji ya kunde
iii) Umbo saizi ya kati( yani asiwe mnene wala mwembamba sana)
iv) Sichagui kabila ( ila itakuwa vizuri akiwa ni mtu wa tanga)
Sifa zangu:
-Muajiriwa serikalini( engineer)
-Mrefu mweusi
-Mwembamba
- Muhaya
- Muislamu
KAMA UKO NA SIFA ZA HAPO JUU PM. NAOMBA NIELEWEKE NATAFUTA MKE NA SIO GIRLFRIEND.
Asanteni