First Meeting na Kero zake

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Twambombooo....

Jamani hili nimeandika kwa experience kabisa, nikaona ni vizuri leo tueleweshane ili isaidie kurekebisha makosa fulani fulani kwa wale watakaokutana...

MADA: Meeting kwa mara ya kwanza, kwa wale ambao hawajawahi kuonana kabisaaa,mara nyingi wakitumia mawasiliano tu,tunashukuru whatsapp inatusaidia hata kutumiana vipicha vya photo point.

WANAUME; kiukweli siku ya kwanza unayoenda kuonana na mtu ambaye hamfahamiani kisura/physically hasa wa jinsia ya KE ,Jitahidini kuwa na maongezi mazuri,ambayo utamvutia mtu hata siku nyingine akitaka kuonana kunakuwa hakuna vikwazo..
Kuna wanaume wengine sijui ni ujinga au hofu, sielewi,mkikutana stori za kishenzi tu,yani hazivutii hata kidogo ,mara anakaza mimacho kukuangalia cha kuongea hakuna ,unajitahidi kuleta stori kunyoosha maongezi dira hakuna kabisa,mwisho mtu unajidai emergence imetokea bora uondoke mana hata raha ya kukaa hakuna.

WANAWAKE:Mkaka umetulia,umejipanga mwenyewe, unashangaa unakutana na kituko,Mdada kwenye kiti hatulii,mara nimependa shati lako,yani we kaka mzuri,yaani Mcharuuukoo,mpaka unajikuta hamu ya kukaa hakuna,maana hata kama uchangamfu ni too much.
Mwingine anakuja kila ukijitahidi kuongea kaka wa watu,mdada kanaishia kujichekesha tu au yuko kimya mpaka mtu unaboreka.Hapo hata akitaka muonane siku nyingine huwezi ukakubali maana unajua ni yaleyale tu.
Wadada wengine,atajipodoa na kuwa kama asha ngedele,yaani anatia kichefuchefu hata kumwangalia.Kwanini mtu usiende simple tu, kama unataka kuonekana wewe ni mrembo utaonekana tu huna sababu ya kujikoki.

Usije ukajiuliza yule mtu before tulikuwa tunawasiliana vizuri mbona sahizi mawasiliano yanalega,hapo jua kuna kitu ulikosea KABOREKA NA WEWE,anaona bora akupotezee mazimaaa.

JAMANI, kukutana na mtu haimaanishi kwamba ndo Mnataka kutongozana, au mtu anakupenda,its just a matter of kufahamiana tu,kwani huwezi jua huko mbeleni kwenye kufahamiana kuna nini mtakuja kusaidiana.

Kuna wengine wanakuwa safi mpaka unatamani uonane nae tena na tena na tena...
Tujirekebishe,kila mtu nadhani ametambua wapi ni wapi na ni nini.
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..

hahaaaaaaaa sa we ulikuwa unaongea nini hadi ye akawa anashangaa......
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..
Ikawaje mkuu?
 
Mi niliwahi kukutana na changudoa online..kila nachoongea ananishangaa.mwisho akaniambia tu.'tafuta gesti na hela yangu unilipe Kabisaa' dah pale ndo nikajua Haaa..kumbee....sina hamu..

hahhaa...polehh...
 
Mwingine hata hamja salimiana au kujuliana hali analianzisha " hivi hakuna wahudumu wa Jikoni nina hamu ya thupu?
 
NILI MEET NA DADA MMOJA WA INSTAGRAM NA TULICHAT SANA KUPITIA INSTA MSG...TUKAPNGA KUONANA...PALE CAPE TOWN FISH MARKT MSASAN UKWEL SITARUDIA TENA NA TENA KU MEET NA HAWA MADEM WA MTANDAO...ALINITIA AIBU YAN ALIKUWA KILA MUDA ANANIPA SM YAKE NIMPIGE PICHA...HAYA TUKAAGZA CHAKULA NACHO KIKAPIGWA PICHA....MUDA MWINGI ALIKUWA BZY KUCHAT...NIKABOREKA SANA

YAN...namengi kweli ila wapo wanaojua maana ya meetng nawengne washamba wa meetng
 
Mkuu weka picha yake tumuone.
 
Back
Top Bottom