Wana jf nisaidieni maana sielewi ni nn tatizo mpaka sasa,
nina dada yuangu ni mtoto wa mama yangu mdogo ana 37 years bado hajaolewa,nilelewa na familia hii kwa miaka yote toka wazazi wangu...
Habari zenu, niko hoi bin taaban, yaani hata nakosa nguvu kabisa matatizo yakikuandama........
Ilhali bado nikiwa namalizia majonzi ya fitna nilizofanyiwa last week, jana limetokea lingine...
Hili jukwaa navyolichukulia sina uhakika kama kuna Viongozi wa dini katika hili jukwaa la MMU.
Kama wapo, basi tupeane mawazo/elimu umuhimu wa uwepo wao huku hasa wanapoona mambo mbalimbali...
Utafiti umeonesha kwamba "ni NDOA pekee ndio shule ngumu sana kufaulu duniani" ndio maana unapewa cheti chake kwanza alafu mitihani yake unaenda kukabiliana baadae la sivyo ingeanza mitihani wengi...
Hi Guys...... ts a beautiful morning...!
Jamani i'm so busyyyy..... hadi nahisi nitafia bafuni...
Kazi nyingi...... muda wa kurefresh sinanikipata ndo kama hivi...... dah!
My Future Bf...
Habari za asubuhi wakuu...Umegombana na wife usiku kucha kwa vitu visivyo na maana hata ukanyimwa "haki" yako ya msingi.....mzungu wa nne mpk asubuhi,unaenda Ofisini mbele yako kuna daladala ina...
Hivi karibuni neno #KIBAMIA limeshka kasi sana na target yake ni kuhurt MANLY PRIDE kuinduce inferiority complex kwe2 sisi wanaume(honestly sio poa sana kukashifu maumbie ambayo uwepo wake si...
Jamani habari zenu..mie leo nina kaswali kidogo.
Kipi usababisha ndoto za mapenzi?
Yaani unamuota mtu unayemjua anakuja mna GEGEDANA kisawasawa mpaka hamu inaisha ukiamka asubuhi umechafuka na...
kusaidiana japo kazi ndogo ndogo kama hizi ndani inadumisha mapendo kati ya mume na mke! wala sio kudhalilishana!
kuna kazi ambazo mwanaume ukifanya kwa lengo la kumsaidia mkeo, inaongeza mvuto...
Lakini kwa mara nyingine swala ibuka wakati huu sio jipya. Je ngono inaathiri au kuimarisha uwezo wa mchezaji kuingiza mabao au kusakata kabumbu vyema uwanjani?
Taarifa zinazohusiana
Michezo
Kuna...
Lou Costello said, "This was the best ice cream soda I ever tasted" and then he died. I'm not sure if the final words of anyone have any meaning. But there's the myth they might be words of...
One of my dearest rafiki ( mwanamke), ambaye yuko kwenye ndoa kwa muda wa mwaka na nusu sasa, alianza kuishi na mchumba wake kwa muda mrefu tu.
Akiwa kwenye stage ya uchumba alikuwa akipata text...
DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali...
Jamaa yangu wa FB amesema hivi:
Ndoa haibadilishi tabia ya mtu,nyie ambao mna hopes kwamba aah my boy atabadilika tu huko mbeleni tukioana,or my girl atabadilika,habadiliki ng'oo!
Kama...
Jana nilikuwa najibu swali nililotupiwa na mpenzi wangu, alisema kama mwanaume akiamua kuchepuka basi anakuwa hamthamini mkewe, nikamwambia siyo,
Mwanaume anaweza akawa anampenda sana mkewe...
Wazima???
Sina mda mrefu tangu nimetendwa!! Nilianza kusahau sasa nimekaa zangu nikasikia wimbo wa christian bella akiwa na maraika band NAKUITAJI dah!! Umenikumbusha machungu jamani mapenzi...
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya...
Mornie jf
Hivi kushindwa kutumia condom kunadababishwa na nini lakini nikienda kavu na enjoy lakini nikivaaa tuu condom na loose my erection on the sport....au kama kuna aina nzuri ya condom ya...