Kipi uleta ndoto hizi?

Kipi uleta ndoto hizi?

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Jamani habari zenu..mie leo nina kaswali kidogo.

Kipi usababisha ndoto za mapenzi?

Yaani unamuota mtu unayemjua anakuja mna GEGEDANA kisawasawa mpaka hamu inaisha ukiamka asubuhi umechafuka na kuchoka ka ulikua kwenye bed mechi live..

Nini chanzo cha ndoto hizi haswaa kwa wakaka?
 
Hilo huwa ni jini mahaba linakushughulikia. Fanya maombi ya nguvu kabla hujalala, hiyo hali itapotea kabisa
 
Jamani habari zenu..mie leo nina kaswali kidogo.

Kipi usababisha ndoto za mapenzi?

Yaani unamuota mtu unayemjua anakuja mna GEGEDANA kisawasawa mpaka hamu inaisha ukiamka asubuhi umechafuka na kuchoka ka ulikua kwenye bed mechi live..

Nini chanzo cha ndoto hizi haswaa kwa wakaka?

Ukame huo unakusumbua mpk unaota kile unachohitaji
 
Ukame huo unakusumbua mpk unaota kile unachohitaji
aaah wapi ukame unaweza usiwe chanzo
.
.

Ukame ....
Ukame ??!! Labda kama ni mwanafunzi wa boarding ya jinsia moja.
.
.

Spritual husbands and wives
Err hapo ni kulingana na imani ya mtu sayansi haisemi hivyo.
.
.

Ni mihemko!
Hio inaendana na ya huyu hapa chini.
.
.
.

Wet dreams
Exactly!!
According to bios logos....
 
kulala peke yako na nguo mostly nndo chanzo

ukilala na mwenzio uchi hupati ndoto hizi
 
Unamweweseko wa kingono nenda kwenye ibada ni majini hayo
 
Exactly!!
According to bios logos....[/QUOTE]

suluhisho ni nini Mkuu kama unafaham!
 
tafuta kitabu cha form three biology reproduction kimeeleza vzuri sababu ya hzo ndoto ningekyelezea sema ni maelezo marefu sana
 
Exactly!!
According to bios logos....

suluhisho ni nini Mkuu kama unafaham![/QUOTE]

Ndugu yangu maelezo yako na huyo aliyetafsiri kwa maneno mawili(wet dreams) kuna tofauti gani? Jibu ni kwamba hakuna tofauti.
Jibu linarudi palepale kwamba ni mihemko au ** ukame... Ambapo unpokuwa umelala signals are sent from ur sex gland to the ubongo. And the body acts in a suitable way to release them. Kuhusu mtu unaemfahamu kuwa ndo wa kukutoa hamu ni obvious kwamba unakuwa na hisia na huyo mtu ndo maana anakuwa kama middleman
 
suluhisho ni nini Mkuu kama unafaham!

Ndugu yangu maelezo yako na huyo aliyetafsiri kwa maneno mawili(wet dreams) kuna tofauti gani? Jibu ni kwamba hakuna tofauti.
Jibu linarudi palepale kwamba ni mihemko au ** ukame... Ambapo unpokuwa umelala signals are sent from ur sex gland to the ubongo. And the body acts in a suitable way to release them. Kuhusu mtu unaemfahamu kuwa ndo wa kukutoa hamu ni obvious kwamba unakuwa na hisia na huyo mtu ndo maana anakuwa kama middleman[/QUOTE]

Mkuu mi nilitaka kujua kama kuna namna ukaepuka kuota hizo ndoto!
 
Back
Top Bottom