Naombeni ushauri wenu ndugu zangu

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu

Ndan ya box

Senior Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
159
Reaction score
44
Wana jf nisaidieni maana sielewi ni nn tatizo mpaka sasa,
nina dada yuangu ni mtoto wa mama yangu mdogo ana 37 years bado hajaolewa,nilelewa na familia hii kwa miaka yote toka wazazi wangu walipofariki miaka ming,na mahusiano yetu yalikuwa mazuri,lakini tangu pale nilipomueleza dada yangu nmepata mchumba na kuolewa dada yangu mahusiano hayapo tena tangia hapo ,hakupigii sim wala text mpaka pale utakapomtafuta wewe,na niligundua hivo pale tu nilipomtaharifu hiyo habari,jamani nisaidieni nifanyaje,maana nimekuwa mstari wa mbele kutaka kurudisha mahusiano yangu kama mwanzo lkn sion dalili,naombeni ushauri nifanyaje labda?
 
Pengine umefanya haraka ku-jump to that conclusion.....kama sio mbali jaribu kumtembelea uone kinachomuweka bize. Mi mwenyewe hapa mawasiliano nliyokuwa nayo mwaka jana ni tofauti kubwa sana na ya mwaka huu kutokana na kuongezeka kwa majukumu....inawezekana na yeye ipo hivyo
 
hyo ni kwamba roho inamuuma tu kwamba iweje wewe wa juzi umepata mume ila yeye hajapata, inatokea sana kwa ndugu wa kike ambao umri umesogea hlf haja bahatika kuolewa, anasahau kila mtu ana rizik yake na ya kwake bado haijafika......wewe endelea ufanyavyo, jifanye huoni wivu na hasira zake, zina muda zitakwisha tu...
 
Kuna uwezekano anahisi utamnyanyapaa kwasababu ww umepata mchumba na umeolewa angali yeye bado yupo yupo na anastahiki kuwa kwenye ndoa na watoto kadha kwa umri huo.Kitu kingine ni kwamba mtu akishatimiza umri huo bila ya kujenga familia yake watu wote wanamnyanyapaa,ndugu,majirani,na jamii nzima,kitu ambacho kinasikitisha sana kwa sababu kila kitu majaaliwa…Kwa upande mwengine wewe mke wa fulani wakati yeye ni single lady tayari mpo katika matabaka tofauti,kijamii wewe utapewa heshima zaidi kuliko yeye :sad::thinking:lakini usimtengee elewa yupo katika wakati mgumu….
 
Inamaana kwenye harusi yako dada yako hakufika?
Na kama hakufika akiwa kama mama yako mlezi ulifungaje hiyo ndoa?
Kuna kitu kimejificha chenye asili ya zarau na ujeuri ulioambukizwa na kudanganywa na hako kabwana kako
Nenda kapige magoti kwa dada yako tafuta wazee uende nao.
 
Ukute unajishaua sanaaaa ile mno mno na hako kamume kako! Labda katika mashauzi yako unakuwa too exited n inconsiderate juu ya feelings za mwenzio!

Mi mwenyewe nina ndugu yangu kaolewa 38, kama hujaolewa huwezi kukaa nae dakika 2 alivo limbukeni! My hubby hiki, mara kile, mara sijui wasioolewa wanaishije blah blah blah! Habby mwenyewe kamuiba mume wa mtu!

Mi ndo kiboko yake! Akianza mbona huolewi, unazeeka tu hapa kumpa mama mzigo? Namjibu i am not 38 YET! Subiri nikifika 38 kama ulivoolewa wewe ndo uniulize now i have over 10 plis somethin years! Its too early for you to ask me! Au saaingine najisikia tu kumkera namwambia we jishaue mkewe hajatoa picha za harusi sebuleni na maombi yake iko siku yatajibu! HANA HAMU NA MIMI!

All in all MAY BE YOU BECAME ARROGANT N UNPLEASANT kuspend even 15 minutes na wewe.
 
Kwa vile yeye ndo hakujali basi wewe ndo unatakiwa uwe karibu nae na ikiwezekana mpigie simu kila siku upate kumsalimia
 
Yaan lara siwezi fanya hivyo nampenda sana dada yangu na nmekuwa namuombea mungu amsaidie
 
ahahaha, umenichekeshaje?

yaani nataka nimpeleke paw wangu vekesheni long weekend ya sabasaba. any suggestions? hehehe, money is not a deciding factor, si unajua salare haina kazi namnyonyaaa mwaka mzima hadi babangu Mtambuzi yeye ndo anampa hela ya ugoro?

:smile-big::smile-big::smile-big:
Ukute unajishaua sanaaaa ile mno mno na hako kamume kako! Labda katika mashauzi yako unakuwa too exited n inconsiderate juu ya feelings za mwenzio!

Mi mwenyewe nina ndugu yangu kaolewa 38, kama hujaolewa huwezi kukaa nae dakika 2 alivo limbukeni! My hubby hiki, mara kile, mara sijui wasioolewa wanaishije blah blah blah! Habby mwenyewe kamuiba mume wa mtu!

Mi ndo kiboko yake! Akianza mbona huolewi, unazeeka tu hapa kumpa mama mzigo? Namjibu i am not 38 YET! Subiri nikifika 38 kama ulivoolewa wewe ndo uniulize now i have over 10 plis somethin years! Its too early for you to ask me! Au saaingine najisikia tu kumkera namwambia we jishaue mkewe hajatoa picha za harusi sebuleni na maombi yake iko siku yatajibu! HANA HAMU NA MIMI!

All in all MAY BE YOU BECAME ARROGANT N UNPLEASANT kuspend even 15 minutes na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Wana jf nisaidieni maana sielewi ni nn tatizo mpaka sasa,
nina dada yuangu ni mtoto wa mama yangu mdogo ana 37 years bado hajaolewa,nilelewa na familia hii kwa miaka yote toka wazazi wangu walipofariki miaka ming,na mahusiano yetu yalikuwa mazuri,lakini tangu pale nilipomueleza dada yangu nmepata mchumba na kuolewa dada yangu mahusiano hayapo tena tangia hapo ,hakupigii sim wala text mpaka pale utakapomtafuta wewe,na niligundua hivo pale tu nilipomtaharifu hiyo habari,jamani nisaidieni nifanyaje,maana nimekuwa mstari wa mbele kutaka kurudisha mahusiano yangu kama mwanzo lkn sion dalili,naombeni ushauri nifanyaje labda?

toka Ndan ya box!
 
Last edited by a moderator:
ahahaha, umenichekeshaje?

yaani nataka nimpeleke paw wangu vekesheni long weekend ya sabasaba. any suggestions? hehehe, money is not a deciding factor, si unajua salare haina kazi namnyonyaaa mwaka mzima hadi babangu Mtambuzi yeye ndo anampa hela ya ugoro?


:smile-big::smile-big::smile-big:

nenda monte carlo au st. tropez mta-enjoy sana.
 
Back
Top Bottom