Umenikumbusha machungu

Umenikumbusha machungu

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,039
Reaction score
2,190
Wazima???
Sina mda mrefu tangu nimetendwa!! Nilianza kusahau sasa nimekaa zangu nikasikia wimbo wa christian bella akiwa na maraika band NAKUITAJI dah!! Umenikumbusha machungu jamani mapenzi yanauma asikwambie mtu hasa ukitendwa na mtu usiemtarajia
 
Aii si uje kwangu? Pole lakini.
 
Angalia tu huyo mtu asije akarudi kukung'ata tena kwa sababu anakujua. A to Z
 
michache sana yaani ndo mnaanza kumbe..

Michache bt before tulikua na mahusiano ya kirafiki tu so jumla ni kama 4 kubwa zaidi hom kwao napajua nyumbani kwetu kafika mpaka na wazee wake walishafika mpaka na mahari nusu ilitoka kilichotokea sasa!!!! Ctaki kuendelea
 
ukiwa heart broken usisikilize love songs ...sikiliza news only
 
pole sana jitahidi kujichanganya na watu wa aina tofauti tofauti wakuondolee mawazo
 
Michache bt before tulikua na mahusiano ya kirafiki tu so jumla ni kama 4 kubwa zaidi hom kwao napajua nyumbani kwetu kafika mpaka na wazee wake walishafika mpaka na mahari nusu ilitoka kilichotokea sasa!!!! Ctaki kuendelea

Pole mwaya mapenzi yamekuwa janga la DUNIA, piga moyo konde utasahau!.... kisicho riziki hakiliki hata kama kimefika mdomoni!!
 
Back
Top Bottom