Anakua? Uaminifu unapungua?

Anakua? Uaminifu unapungua?

Huyo dume l a mbegu keshaanza kuonesha uanaume wake tangia utotoni...pole mama kwa kupoteza ukaribu na mwanao!mpe nafasi awe huru na wewe yaani ajilete/awe kimbilio lake kwako akiwa na tatizo.Na simaanishi usiwe concerned,you should be ila pale inapobidi tu, kwa umri alokuwa nao anajua kutofautisha zuri na baya kwahio ondoa shaka.When you try too hard ndivyo atakavyojaribu kukuepuka...kuna rika mtoto akifika anajiona ameshakua kwahio anapenda aachiwe afanye maamuzi mwenyewe!
 
umaskulini wa kiume unaanza kujionyesha sasa
 
under 10 years? Jesus Christ of Nazareth!!
 
jipe hongera mwanao hapendi kuona mtu mwingine anakuwa katika wakati mgumu wakati angeweza kumwepusha atakuwa mtetezi hujazaa mwanasiasa (joke) mfano kama angesema dada kamuumiza dada angeogopa kidogo lakini yeye akaaamua kukinga kifua kwa ajili yake huyo ni mwanaume halisi umekuza Kongosho
 
Last edited by a moderator:
jamani, sasa naye ana maamuzi gani?
Inaniumaje mie

Huyo dume l a mbegu keshaanza kuonesha uanaume wake tangia utotoni...pole mama kwa kupoteza ukaribu na mwanao!mpe nafasi awe huru na wewe yaani ajilete/awe kimbilio lake kwako akiwa na tatizo.Na simaanishi usiwe concerned,you should be ila pale inapobidi tu, kwa umri alokuwa nao anajua kutofautisha zuri na baya kwahio ondoa shaka.When you try too hard ndivyo atakavyojaribu kukuepuka...kuna rika mtoto akifika anajiona ameshakua kwahio anapenda aachiwe afanye maamuzi mwenyewe!
 
he is troubled of something.....labda uhakikishe anakuwa na mtu mwingine wa kumueleza exactly how he feels...
kuna age unaona kumueleza mama kila kitu ni being weak.......
so anachokifanya ni 'emotional suppressing' he want to be tough on the outside....
 
Pamoja na hayo, alitakiwa aniambie ukweli, ila aniombe nisimgombeze dada. Kinachonikosesha raha ni yeye kuchagua mambo ya kunishieikisha.

jipe hongera mwanao hapendi kuona mtu mwingine anakuwa katika wakati mgumu wakati angeweza kumwepusha atakuwa mtetezi hujazaa mwanasiasa (joke) mfano kama angesema dada kamuumiza dada angeogopa kidogo lakini yeye akaaamua kukinga kifua kwa ajili yake huyo ni mwanaume halisi umekuza Kongosho
 
Last edited by a moderator:
jamani, sasa naye ana maamuzi gani?
Inaniumaje mie

chukulia simple yaweza kuwa hio hali itapita je ana kakazake/yake kama ndio waweza kumtumia kuhakikisha hapitilizi under 10 yrs bado mbichi
 
Pamoja na hayo, alitakiwa aniambie ukweli, ila aniombe nisimgombeze dada. Kinachonikosesha raha ni yeye kuchagua mambo ya kunishieikisha.

jaribu kuongea nae kirafiki zaidi ujue hayo mabadiliko yameanzia wapi labda anaiga kwa agemates wake
 
Hiyo ndio worry yangu. Ni kama anajifunza to take some punches on his own but ...

Na kama hawezi niambia mie, hawezi mwambia yeyote.

he is troubled of something.....labda uhakikishe anakuwa na mtu mwingine wa kumueleza exactly how he feels...
kuna age unaona kumueleza mama kila kitu ni being weak.......
so anachokifanya ni 'emotional suppressing' he want to be tough on the outside....
 
chukulia simple yaweza kuwa hio hali itapita je ana kakazake/yake kama ndio waweza kumtumia kuhakikisha hapitilizi under 10 yrs bado mbichi

Siku zote najua Kongosho ni male! dah! samahani sana.. kumbe wewe ni Mama kabisa eeehhh
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana ni tabia yake tu. Hata kama angekuwa wa kike pengine ingekuwa hivyo. Kuanzia miaka 6 hadi 10 mtoto anajenga tabia yake na mtu wa karibu kwa umri huu ni mwalimu.
Kama mama ujitahidi kumfundisha unavyopenda awe. Jitahidi uwe mwalimu zaidi ya mama. Ni wakati pia mtoto hujifunza tabia za mazoea ya wazazi. Hapa anakuelewa vizuri. Pengine kama alivyosema hapendi ugomvi, labda anahisi akikwambia kama amekosea unaweza kuzua ugomvi.
Mrithishe msimamo ya nyumbani kwa wakati huu, maana akianza kuwa na marafiki na kuwaona wao ndio kila kitu (miaka 12-16) ni rahisi kupelekwa na upepo kama msingi sio imara.
Hapo tabia za udume bado zaidi kama mtundu atakuwa atakuwa msumbufu kipindi hiki cha kujifunza. Kuanza kuonesha uanaume bado ila anajitambua kuwa yeye ni wa kiume kwa hiyo anajifunza vitu vya kiume.
 
Ndo uanaume ss mwanaume lazima ukaze hata kwa mama, ndo maana Baba ni wa muhimu nyumbani kuleta nidham
 
Yote kwa yote, mwanao ni mtoto mzuri sanaaaaa...!!! ni mvumilivu
 
haka katabia hakajaanza siku hizi, ila kama kanakua vile.

Kama vile anakaribia kuniambia 'you worry too much'.

jaribu kuongea nae kirafiki zaidi ujue hayo mabadiliko yameanzia wapi labda anaiga kwa agemates wake
 
Hiyo ndio worry yangu. Ni kama anajifunza to take some punches on his own but ...

Na kama hawezi niambia mie, hawezi mwambia yeyote.


Kila mtu ana namna yake ya ku handle changes.....so hiyo ni namna yake
anataka umuone yuko okay....but kiukweli hayuko that okay...but he will be okay..sio big deal
ni just a phase....anachofanya sasa ni kujifanya very tough au ku act kama ni 'a grown up already'
usim probe sana..just mpe time na uwe karibu tu na yeye.....usisahau zile moments za 'just the two of you'...
 
Tatizo nyie wababa wakali sometimes. Kuna siku aliniambia, siwezi kubishana na baba hata iweje.

Ndo uanaume ss mwanaume lazima ukaze hata kwa mama, ndo maana Baba ni wa muhimu nyumbani kuleta nidham
 
haka katabia hakajaanza siku hizi, ila kama kanakua vile.

Kama vile anakaribia kuniambia 'you worry too much'.

kama ni hivyo usiwaze sana jaribu tu kuhakikisha ukaribu wenu unabaki madhubuti zaidi na kumfanya aendelee kuwa huru kwako
 
Back
Top Bottom