Habari za asubuhi wakuu...Umegombana na wife usiku kucha kwa vitu visivyo na maana hata ukanyimwa "haki" yako ya msingi.....mzungu wa nne mpk asubuhi,unaenda Ofisini mbele yako kuna daladala ina ujumbe huu....inabidi utafakari mara mbili....
Kukuru kakara zetu wewee...zinatuponza we wacha we wachaaaa
Kiukweli tunakukuruka sana na ndio maana tunavamia tusioendana nao...wengi wanaolea shape na maumbo ya mabinti na si tabia na fikra alizonazo binti huyo towards life na dini yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.