Hapendi kutoa

Price

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
1,502
918
Hi Guys...... ts a beautiful morning...!

Jamani i'm so busyyyy..... hadi nahisi nitafia bafuni...

Kazi nyingi...... muda wa kurefresh sinanikipata ndo kama hivi...... dah!

My Future Bf... hapendi kuniletea Gift;

Anazidi kuniongezea stress hata kukubali proposal yake nashindwa....

Mi nimezoea kudekezwa... I miss my parents, indeed.
 
Hi Guys...... ts a beautiful morning...!!
Jamani i'm so busyyyy..... hadi nahisi nitafia bafuni...
Kazi nyingi...... muda wa kurefresh sina
nikipata ndo kama hivi...... dah!
my Future Bf... hapendi kuniletea Gift
anazidi kuniongezea stress hata kukubali proposal yake nashindwa
Mi nimezoea kudekezwa... i miss my parents, indeed.

Umechagua jina safi kukufanana, price. Zawadi is a two-way traffic, hata yeye analalamika wewe hutoi hata unapokuwa nacho unabania. Extraction requires a focused manouvre na ni lazima ujitume ili naye ajitume. Umesema vema pia kwamba umelelewa vibaya kwa kudekezwa na hukufunzwa jando na unyago juu ya namna ya kuishi na watu ukabalance.
 
Kutokana na kupenda kwangu hivyo..... always ninapotoka safari lazima nimletee... lakini haoni au sijui ndo hajifunz
 
Back
Top Bottom