Kina dada naombeni mnielimishe juu ya hili

Kina dada naombeni mnielimishe juu ya hili

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Kama nitakuwa nimewakosea kwa hili jambo naombeni mnisamhe kwasababu sina nia mbaya ninataka tu kujua dada zangu.

Leo wakati niko kwenye mkusanyiko fulani hivi ghafla dada mmoja amezima yani ameanguka na kupoteza fahamu, sasa wakati wa kutafuta tafuta simu katika begi lake wadau wakatoa na zile ambazo mnavaaga wakati mkiwa na mambo yenu yale, kibaya zaidi zilikuwa zimetumika mpaka zinatoa harufu.

Sasa kitu najiuliza mpaka sasa sipaiti jibu ni hivi, baada ya kutumia zile pedi huwa mnaziweka halafu baadae mnazifua na kuvaa tena au vipi??? Kwanini mkishazivua mnaziweka tena kwenye mabegi yenu? kuna logic gani hapa?

Asanteni
 
one woman has judged million women
 
inawezekana pia ilitakiwa kufanyiwa recycling process...

kila kitu kinawezekana duniani hapa kasoro kuumba na kurudisha uhai..
 
Duh huwa zinatupwa mkuu ila hili swali ungeweza muuliza hata girl wako..... we ulijuaje zinanuka au ulienda kunusaa
 
naimani alitaka akatupe nyumbani....hiyo harufu ni mchanganyiko wa joto la begi
 
Kama nitakuwa nimewakosea kwa hili jambo naombeni mnisamhe kwasababu sina nia mbaya ninataka tu kujua dada zangu.

Leo wakati niko kwenye mkusanyiko fulani hivi ghafla dada mmoja amezima yani ameanguka na kupoteza fahamu, sasa wakati wa kutafuta tafuta simu katika begi lake wadau wakatoa na zile ambazo mnavaaga wakati mkiwa na mambo yenu yale, kibaya zaidi zilikuwa zimetumika mpaka zinatoa harufu.

Sasa kitu najiuliza mpaka sasa sipaiti jibu ni hivi, baada ya kutumia zile pedi huwa mnaziweka halafu baadae mnazifua na kuvaa tena au vipi??? Kwanini mkishazivua mnaziweka tena kwenye mabegi yenu??? kuna logic gani hapa???

Asanteni

Chief zile ndude tukishatumia zinafuliwa alafu tunatumia tena, ni kama condom tu ukishatumia unaweza ukafua ikikauka unatumia tena..

Note:
Mambo yasiyokuhusu kaa mbali nayo..
 
Duh! anatembea nazo...! tena zilizotumika... dah!
 
Samaki mmoja akioza????

wote wanaoza... lakini TAFiti ilitakiwa kuendelea kufanyika... nani anajua, yawezekana kweli lisemwalo lipo, kama halipo basi laja..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom