Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
1450965_763164163701086_1236757347_n.jpg

Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa.
I salute you
 
Hehehe katulia kama anapigishwa puchu
 
kuna uhaba wa wanaume sana siku hizi...mana it seem u never.....unajua sisi bana wafrika sisi...kuna watu maisha ya kimaskini huyageuza ni sifa....yaani unakuta mtu anajisifu...mimi nimeshi maisha magumu wewe hunifanyi kitu!!!..(kumbe ni ujinga na uzembe tu ndo umesababisha) au mwingine mimi ninaishi uswazi wewe huwezi kuniambia kitu(kumbe ni maisha magumu na kuofanya homework zetu vizuri ndo zimetufanya tuishi uswazi) LAKINI SIO SIFA.....yaani namaanisha SIO SIFA KUISHI MAISHA YA TAABU
 
kuna uhaba wa wanaume sana siku hizi...mana it seems u never.....unajua sisi bana wafrika sisi...kuna watu maisha ya kimaskini huyageuza ni sifa....yaani unakuta mtu anajisifu...mimi nimeshi maisha magumu wewe hunifanyi kitu!!!..(kumbe ni ujinga na uzembe tu ndo umesababisha) au mwingine mimi ninaishi uswazi wewe huwezi kuniambia kitu(kumbe ni maisha magumu na kuofanya homework zetu vizuri ndo zimetufanya tuishi uswazi) LAKINI SIO SIFA.....yaani namaanisha SIO SIFA KUISHI MAISHA YA TAABU
 
Aisee
Thank God kwa kuniumba mwanamke
 
1450965_763164163701086_1236757347_n.jpg

Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa.
I salute you

Halafu huyo jamaa kama si mganga wa Ng'ombe sijui
 
Sasa kuzaa zaa na iyo mara moja ipi bora.
 
mmh! mwili umenisisimka.. kama hiyo ndio definition ya mwanaume wa shoka ...... kaz kwel kwel
 
no bado hujanifanya hivyo aisee...halafu mixer, dokta kamkanyaga chini asifurukute
 
kuna uhaba wa wanaume sana siku hizi...mana it seem u never.....unajua sisi bana wafrika sisi...kuna watu maisha ya kimaskini huyageuza ni sifa....yaani unakuta mtu anajisifu...mimi nimeshi maisha magumu wewe hunifanyi kitu!!!..(kumbe ni ujinga na uzembe tu ndo umesababisha) au mwingine mimi ninaishi uswazi wewe huwezi kuniambia kitu(kumbe ni maisha magumu na kuofanya homework zetu vizuri ndo zimetufanya tuishi uswazi) LAKINI SIO SIFA.....yaani namaanisha SIO SIFA KUISHI MAISHA YA TAABU

hiyo picha na malengo ya mleta uzi naona kama vinaendana tofauti na ulichoandika!
stori nyingi zinatuambia hivyo ndivyo uanaume wa kijana ulivyokuwa unapimwa! (masculine)
lia uone kama utaoa! hapo siyo suala la maisha magumu!

halafu mtu aliyepitia maisha magumu huyo ndiye anauzoefu mkubwa na dunia hii tofauti na yule ambae kila kitu analetewa! shida hufunza!
 
1450965_763164163701086_1236757347_n.jpg

Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa.
I salute you

umeconsider factor ndogo sana mkuu!!

hivi unajua situation anayoipitia baada ya hapo? kuna wengine hufikia mpaka hatua ya kupoteza maisha endapo kitendo wanachofanyiwa hakitofanyika vizuri na kitaalamu.. !!

process za kupona huchukua zaidi ya mwezi mzima nikwambie, wakati ukienda hospital unachukua wiki moja tu na unapotoka pale unakuwa umevaa suruali na hamna anaejua kuwa umetahiriwa.... uliza sasa hawa wa asili inakuwaje!!

Pia, ukifuatilia sana kiundani, tohara zinazofanyika kiasili huendana na violence, hiyo ni kweli na haipingiki!! kwa kipindi kizima cha kuwa katika maumivu na kuelekea kupona, vijana waliotahiriwa (kwa kawaida huwa katika makundi kama 10 na kuendelea, hutahiriwa kwa rika) huwa na fujo sana... hiyo inafahamika!

ahsanteni!
 
hiyo picha na malengo ya mleta uzi naona kama vinaendana tofauti na ulichoandika!
stori nyingi zinatuambia hivyo ndivyo uanaume wa kijana ulivyokuwa unapimwa! (masculine)
lia uone kama utaoa! hapo siyo suala la maisha magumu!

halafu mtu aliyepitia maisha magumu huyo ndiye anauzoefu mkubwa na dunia hii tofauti na yule ambae kila kitu analetewa! shida hufunza!
wala hana tofauti....hivi unafikiri mzungu aliyetairiwa hospitali....uanaume wake unakua haujakamilika compared to mmakonde aliyetairiwa porini...kuna mitazamo ya maisha inabidi kuibadilisha na kuiangalia kwa umakini...
 
unajua wakati huu karibu kila kitu watu wanasema "mitazamo inabidi kubadilika na kuiangalia kwa makini" siyo kila mtazamo ni wa kuungalia na kuubadilisha kwasababu hauwezi kubadilika na hata hauhitaji kutazamwa! ni wazi kwamba aliyekwepa mishale mingi huyo ndiye anauzoefu wa mambo mengi! inawezekana akawa maskini si kwasababu ya mtazamo huo ila kwasababu ya vitu vingi! na mtu kama huyo akipata nafasi huwa na uwezo mzuri sana wa kuitumia vizuri coz hapendi kurudi katika matatizo!

kama mtu kaweza kuvumilia na kupita katika matatizo makali basi mtu huyo ni rahisi kupita vikwazo vingi na hatimae mafanikio! experience ina umuhimu wake mkuu!
 
Jamani mie naogopaaaaaaaa msaada wa ambulance pleaseeeeee
 
Back
Top Bottom