Maisha sio mapenzi jua mapenzi ni sehemu ya maisha

Thinkyyy

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
548
Reaction score
71
Nasikitika sana kuona ndugu zangu wengi mnapotea humu mmu kwa kuumiza kichwa kujua uzinzi na ngono.

Maadili ya kiafrica yanaporomoka siku hadi siku.

Mapenzi ni hali ya kukubaliana na mwenzako,kuwa mwili mmoja ,kupendana,kuelewana,imani,mwenendo,kuheshimiana na kulindana kwa 100%.

MMU ni jukwaa la kuongelea maisha ya kutokujua mapenzi na matokeo yake ila sio mapenzi .

UWEZO MDOGO WA KUELEWA MAPENZI NDO UWINGI WA THREAD
 
Kweli Kabisa, Nashukuru Kwa Somo Zuri Mungu Akubariki
 
unachosema ni kweli mkuu, ila humu si kila anayepost mambo ya sex anajua anachokipost, wengi wanatafuta sifa, yaani ukikutana nao ni watakatifu hata wachungaji wamesingiziwa..
 
mkuu natumai umenielewa sana kwa hivi tunavyoenda hatujengi tunabomoa ,watu wanaangamia kwa ufuska naona tatizo HAWAJAJITAMBUA
 
Kwan mkuu maisha bila mapenz kwel yanawezkana? coz if u hate u must love smthng i mean u cnt hates everythng
 
yanawezekana soma vitabu vya assasinators utaelewa watu hawataki mapenzi bali ngono asilimia 90%
 
Nasikitika sana kuona ndugu zangu wengi mnapotea humu mmu kwa kuumiza kichwa kujua uzinzi na ngono.

Maadili ya kiafrica yanaporomoka siku hadi siku.

Mapenzi ni hali ya kukubaliana na mwenzako,kuwa mwili mmoja ,kupendana,kuelewana,imani,mwenendo,kuheshimiana na kulindana kwa 100%.

MMU ni jukwaa la kuongelea maisha ya kutokujua mapenzi na matokeo yake ila sio mapenzi .

UWEZO MDOGO WA KUELEWA MAPENZI NDO UWINGI WA THREAD

Mkuu umegusa penyewe, kwa upeo wangu mdogo nahic %90 hamajui kabisa nn maana ya mapenzi.
 
exactly mkuu wanachojadili ni uzinzi au matokeo ya kutojua mapenzi very depressing asante kwa kunielewa
 
ur ver wise guy be blessed, kuna muda uwa naudhika sana tungekuwa na vijana kama ww jukwaa ili lingekuwa darasa ila watu wanalitumia kinyume nawakati mwingine kuchochea mambo yanayo msaidia shetani kuudanganya ulimwengu kama mfano mtu anaweka thread inayo amasisha watu kuzini inaboa sana uwa nakuja humu kupata elimu muda mwingine upata kazuri ila muda mwingine tubadilike jaman tutambue uzinzi ni dhambi inayotosha kabisa kukufanya ukuogerea kwenye ziwa la moto milele tuwe na hofu ya Mungu na tuwaze hukumu zake.
 
kamanda walio wengi hawaangalii mbali, ni sawa na mtoto kulilia pipi au biskut kumbe athali ya baadae ni kuoza meno, inabidi tufunge na kuomb kuondoa roho ya kutokujitambua.
 
ur ver wise guy be blessed, kuna muda uwa naudhika sana tungekuwa na vijana kama ww jukwaa ili lingekuwa darasa ila watu wanalitumia kinyume nawakati mwingine kuchochea mambo yanayo msaidia shetani kuudanganya ulimwengu kama mfano mtu anaweka thread inayo amasisha watu kuzini inaboa sana uwa nakuja humu kupata elimu muda mwingine upata kazuri ila muda mwingine tubadilike jaman tutambue uzinzi ni dhambi inayotosha kabisa kukufanya ukuogerea kwenye ziwa la moto milele tuwe na hofu ya Mungu na tuwaze hukumu zake.

mkuu AMEN ,shetani ameweka kambi yake humu ,amewateka akili na kuwapoteza,unachoona ni ushauri,malalamiko,ufuska,kupotezana,uzinzi,ngono,msaada wa kufanikisha ngono ,tabia potofu za magharibu,dharau na kejeli ,maumbile ,mavazi n.k na ndicho wanachopenda na ndivyo wanavyopotea kwenye njia ya kweli na ukombozi
 
Back
Top Bottom