habarini za j2 ndg zangu, namshukuru mungu kwa ibada njema ya siku za leo!!! napenda kuwasalimu wote!!
awali ya yote mie ni mgeni humu ila sio mbaya sana mwanzoni kabisa nikaeleza nini haswa...
Nimesikia mara kadhaa, mtu anaenda Marekani kutembea, kutibiwa, nk, akiwa huko anafikwa na mauti, hapo utasikia watu wakichangishana fedha arudishwe nyumbani na gharama yake ni dola alfu 20 mpaka...
Ni kijana wa umri 28
Nipo hapa kutafuta binti umri 20-27 for future life.
Mimi ni muhitimu wa chuo na nimejiajili.
Natafuta binti form six nakuendelea, mkristo na aliye serious.
Kama upo...
Nataka mwanamke tutakae anza nae na mungu atujalie tufunge ndoa,
Dini sio ishu
Awe muelewa na
Ajue nafasi yake kama mwanamke
Umri usizidi miaka 25.
Tafadhalini kwa wanawake tu.
Hivi majuzi nimehamia nyumba ya kupanga, nimekaa miezi mitatu kuna nyumba ilikuwa wazi baadae Kijana nae kahamia hapo akiwa na mkewe!
Kabla ya wiki mke wa mpangaji mwenzangu kamanuva kapata...
Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
Mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu...
Habari wana MMU! Swali hili ni kwa yeyote tu.katika harakati za kutafuta mahusiano ya kimapenzi,uchumba,au ndoa,utaona wanaume na wanawake wanakutana katika meneo tofautitofauti.kati yao unamwona...
Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha...
Ndug zangu poleni na majukumu, nimeona tushirikishane hili la "UPENDO"
Ndugu zangu Neno Upendo ni pana, tukianza kujitathimini hapa kila mmoja kwa nafasi yake sehem kubwa wengi wetu tutakili...
Hivi kama tunakuwa kwenye mahusiano inamaana tuna aminiana lakini kuna baadhi yetu huwa tunakuwa na jambo hili la Password kwenye email zetu simu zetu!
Kwanini hatuziachi wazi?
Mbona wenzetu...
Imetungwa na Mommadou Keita
NIMECHOKA kukaa ofisini lakini nalazimika kundelea kuwepo kutokana na kile nilichokuwa nikikisikia kutoka kwa wafanyakazi wenzangu waliofanikiwa kutoka nje na...
Habari zenu mabingwa wa MMU,Hii ilinitokea jumamosi iliyopita nilimtumia demu wangu nauli aje kuninyoosha kidogo kiuno changu yaani aje jumamosi jioni aondoke jumapili jioni.
Sababu ya kuuliza ni...
Nina mpenzi ambaye tuna mwaka na nusu sasa.
Jana kantumia txt kwamb "baby sory" nilipojarbu kumuuliza hyo sori ni ya nini akafunguka na kusema kna kipindi nilikuwa nakcheat nilikuwa na mahusiano...
Nimethibitisha mimi nimeshuhudia kwa jamaa na rafiki zangu na nimesikia pia ikitokea
Ukiwa unamsifia mwanamke mara nyingi uwezavyo kwa sifa za kutosha na zenye mashiko basi unakuja "kumbanjua"...
Nimeijiwa na mama mmoja ambaye alikuja kuniomba ushauri juu ya ufumbuzi wa tatizo lake,alianza kunielekeza kwamba mme wake amemwekea tego.
walikuwa wakiishi pamoja lakini kwa miaka mitatu...
Nahitaji mume, miaka 40, bachelor holder na mwajirwa
mawailiano gloriafrancis60@yahoo.com
Tafadhali chini ya miaka 43 wasiiandikie kabisa
maana awatajibiwa