habarini za j2 ndg zangu, namshukuru mungu kwa ibada njema ya siku za leo!!! napenda kuwasalimu wote!!
awali ya yote mie ni mgeni humu ila sio mbaya sana mwanzoni kabisa nikaeleza nini haswa!!!
nimepitia misukosuko ya kimapenzi na kukata tamaa sasa nikaona natamani sana kuwa na familia yangu nzuri sasa yupi ananifaa ni kazi nzito japo namuomba sana mungu kwa hilo!!!!!
wasifu wangu;
- 28 yrs
- mkristo (cct) zehebu nitakuambia
- mnyamwezi
- mwajiriwa serikalini
- kwa sasa najiendeleza kielimu
- mweusi, umbile la kawaida na mrefu kiasi
- sinywi pombe, sivuti sigara
- sina mtoto
NINAYE MUHITAJI
- asizidi 27 yrs
- ajielewe na kujitambua yeye ni nani (akili timamu)
- elimu walau kidato cha nne na kozi yoyote walau certificate
- endapo akiwa hana ajira tutasaidiana kupambana na maisha!!!!
- kwa mwanachuo awe wa vyuo vya mjini dodoma tu, na aliye na utayari!!!
- mkristo isipokuwa msabato
- anaweza kunywa kiasi ila asivute sigara.
- asiwe na mtoto
- kabila isipokuwa watu wa mkoa wa mbeya (mnyakyusa, mndali, msafwa), kagera (wahaya, wasubi) na wajita!!!!
AKIPATIKANA
- thread hii nitaitoa mara moja
- kwa malengo yangu hatua ya uchumba rasmi baada ya miezi sita na miezi sita tayari anakuwa mke wangu.
- unaweza kuni PM au email hii enocksimon37@yahoo.com
- simu ya kiganjani nitakupa
OMBI
endapo utasoma na kuona post hii haikuhusu tafadhari iache na endelea na mambo mengine na sio kutukana au kuweka maneno ya mzaha au pengine kutumia lugha yenye ukakasi (maudhi)
"Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu" Mathayo 5:8