NATTA WITO
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 229
- 96
Hivi majuzi nimehamia nyumba ya kupanga, nimekaa miezi mitatu kuna nyumba ilikuwa wazi baadae Kijana nae kahamia hapo akiwa na mkewe!
Kabla ya wiki mke wa mpangaji mwenzangu kamanuva kapata namba ya simu yangu, ananisumbua ati ananipenda.
Nimemkatalia na kumwambia wewe ni mke wa mtu na mie nina mke wangu sasa nini kinakufanya ushindwe kutulia na mumeo?
Hili hataki kabisa kulisikia sasa amekuwa kero na kweli amenifanya nifikirie kuhama nyumba hii.
Ushauri tafadhali nifanye nini ili akome kunisumbua na pia asipate karaha ya kuniona kama adui na mtu nisie faa maishani mwake?