Komando Kipensi
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 334
- 59
Hivi haya mambo ya kuzungumzia bikra watu wanayo hadi leo bado?kila mtu na mtuwe aliyeumbiwa.....kwan wangapi wanaoa wanawake bikra jiulize? asiyeoleka kwa huyu anaoleka kwa mwingine...
Wakati mwingine relationship tunazopitia ni kwa makusudi ya kujifunza baadhi ya mambo, mtu relationship ya kwanza inaweza ika-fail lakini ikaja ya pili kupitia changamoto ya kwanza akawa amejifunza kumbe wanaume ndivyo walivyo, btw kaujumbe kazuri hata wadada wanaweza kukageuza na kujazia maneno menginekila mtu na mtuwe aliyeumbiwa.....kwan wangapi wanaoa wanawake bikra jiulize? asiyeoleka kwa huyu anaoleka kwa mwingine...