Natafuta mwanamke wana JF

Natafuta mwanamke wana JF

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Nataka mwanamke tutakae anza nae na mungu atujalie tufunge ndoa,

Dini sio ishu

Awe muelewa na

Ajue nafasi yake kama mwanamke

Umri usizidi miaka 25.

Tafadhalini kwa wanawake tu.
 
mi mwenyewe namshangaa,huu si ndo ukurasa husika alafu nikipata mke humu asijejilaumu maana humu kuna wake wazuri sanaaa
 
mi mwenyewe namshangaa,huu si ndo ukurasa husika alafu nikipata mke humu asijejilaumu maana humu kuna wake wazuri sanaaa

umeonaeeee..ila jiandae tu na majibu yao..maana unaweza kukimbia.
 
hapa kuna wake wa kila aina,kila rang,umbo,sura nk. Ushndwe wewe tu kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom