Wakuu,
Wakati nikiwa kwenye mawazo ya ahadi ya jinsi gani nitaipata laki mbili na nusu ndani ya wiki ijayo ili kumnunulia baby Infinix note something niliyomuahidi baada ya kunipatia penzi la...
Wanawake waliowengi, huwafanya wanaume kama chanzo cha mapato 'source of income'.
Na inapotokea mwanaume kushindwa kumuhudumia ipasavyo mwanamke, kuna uwezekano mkubwa wa kuachana; au kufanyiwa...
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu...
Matukio yaliyonikuta mpaka nikaacha nyeto na kuhama CHAPUTA forever.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni baada ya kuona kuna watu wanateseka sana na upigaji wa nyeto na wengine wanatamani kuacha ila...
Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Hellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu...
Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao...
Nilishawahi mdanganya mwanafunzi IFM pale Kigamboni kwenye pantoni nasoma CPA kumbe ni darasa la Saba failure tu na kaingia kingi kweli ishu ilikuwa kakiomba kaje nikafundishe maana kalinambia...
Habari wakuu wa kaya.
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi...
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.
Sasa...
Habarini wana jukwaa,poleni na majukumu yenu ya kila siku katika kujiongezea mkate ,awali ya yote niwatake radhi kwa maana nakiri wazi mimi si muandishi mzuri ila nimeona vyema tu niwape kisa...
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa...
KARMA says;
You'll certainly fall in love with someone who doesn't love you at all. Infact you'll be his/ her pet hate...she/ he will hate you with a great passion
....Just because you didn't...
Wasalaam Wakuu,
Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama
Hii imekuwa ni kama fashion...
Nashukuru nimefika salama Dodoma nikitokea Iringa ambapo nilipata penzi motomoto, nimeamua kufikia Lodge moja hivi pande za Kisasa, hii ni kutokana na kuwa na miadi na demu wangu wa Facebook...
Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka...
Ni mtu mwenye umbo kubwa na mwenye haiba ya kuwa hata ofisa wa polisi anayeweza kupambana na wahalifu, lakini leo hii ni mwathirika wa ukatili wa kijinsia.
Katika hali ya kawaida na tamaduni zetu...