Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Feb 1, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
  Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
  Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh!
  urongo.
  si kweli.
  :A S thumbs_down:
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  inategemea ni Tanga hipi, wanawake wenye sifa za kitanga sio wote japo wote ni WaTAnga
  Tanga kubwa bi Nazjaz, maana kuna Wadigo, Wasambaa, Wabondei, Wasegeju na wengine wengi

  Hebu tujuze unazungumzia TAnga ipi?
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Labda kama alivyosema Mwana FA - Tanga ndio mapenzi yalipoanzia... Sasa kwa maana hiyo sie wabara twaweza hamishia mapenzi yote huko Tanga na kuacha wale wakurya wenzangu.............
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Mimi ukianza tu kuzungumzia kabila napata uchungu sana. Haya kila la heri
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hawakuogopeni.
  Ila wana mashaka kuwa hamtaweza kulima shamba!
  Lakini pia mna tabia ya kumwekea mtu Limbwata ili akikuoa asahau kwao, na awakane ndugu zake naukoo wake!
  Hii ni kweli, kuna jamaa nilihusika kwenda kwenye msafara wa kumkomboa baada ya kulowea huko miaka 17 bila kurudi nyumbani!
  Yaliyotupata huko ni siri yangu!..../huh!
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Mwatupiga fitna tu.
  Sisi si washirikina, ila mapenzi twayajua, mapishi , usafi na handling nzima ya mwanamume.
  Twajua mwanaume ana hitaji nini na kwa wakati gani. Thtas all.
   
 9. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Hayo mambo ya ukabili wayaleta wewe, mie nimesema tanga
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hiyo kitu mbona siku hizi hakuna kabisa
  Hao wazazi watakuwa wanaishi kipindi kile cha kina nyungu ya mawe
   
 11. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Mambo yenyewe ndiyo kama haya, kweli nimeamini Wangoni wengi wameloea Tanga toka kipindi kile cha Viwanda vingi Tanga. Wengi wao waliopo Tanga, wana miaka 20 mpaka 40 awajakanyaga Songea kusalimia ndugu zao. Tanga rahaaa

  Wabebwa mgongoni, mweshimiwa awekwa kwa kisosi, walishwa kama mtoto wa miaka miwaili.

   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mbona mimi mtu wa Tanga lakini bado sijayaona......naona napokelewa vizuri tu niendako.......ngoja nikamuulize kaka Shossi.....:laugh::laugh:

  Uchawi hatuna,tunajua kupenda na kumlisha bwana kitu roho inapenda na kuridhia......na shule tunaenda kujifunza hayo........:coffee:
   
 13. c

  carefree JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Duh mabinti wa kitanga mbali ya ujuzi utamaduni wanauweka mbele kuna best yangu alioa huko akaacha kwani kila akirudi home binti yuko biz na sekta ya malavidavi hawazungumzii future life yao kila kukicha anapigania waongeze watoto .
  Kamwaga sasa ameoa binti wa kichaga
   
 14. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanga raha.
   
 15. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Kudadaddadadaddaadadeki.
  Limwanamke langu la kitanga linalala kama gogo, halijui kupika, lina majungu, ugomvi na majirani kila siku, nyumba chafu, hata kujitunza lenyewe haliwezi. Kazi yake kubwa kujimimiminia mi ina mwili mzima kama jini
   
 16. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  umenena
   
 17. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Wanawake wa tanga wanadhani mapenzi ndio kila kitu, ni wavivu wa kufikiria, wavivu wa shughuli za kilimo pia sio wabunifu wa miradi ya kimaendeleo.
  Wanamind zaidi kubinjuana kuliko kufanya kazi.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kubinjuana ndio kila kitu mwana, acha kabisa hiyo wewe..we wa wapi?
   
 19. M

  Msindima JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bro hivi una amini kuna limbwata?
   
 20. M

  Msindima JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Uuuwi jamani mnatudhalilisha, na sio wote ambao wako hivyo.
   
Loading...