Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu, Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa. Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni...
18 Reactions
373 Replies
49K Views
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
21 Reactions
115 Replies
27K Views
Nimekuta lidume lina mlilia mwanamke, tena ni hawala tu. Nimetafakari sana, Dume zima linatoka machozi na makamasi kedekede kisha kuambiwa "its over" du! Hata huyo mwanamke atakudharau sana tu...
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Naomba maoni, tofauti hii inatoka wapi? Bongo wembamba ni kama hawana soko kuliko vibonge, lakini Ulaya ni kinyume. KULIKONI?
4 Reactions
46 Replies
12K Views
Pamoja na yale maneno ya ushawishi ya shetani kwa Hawa au Eva ya kula tunda la mti ule. Haya ni baadhi ya mengine ambayo shetani alituambia ila hayakupatwa kuandikwa. 1. Huruma - mwanamke hupaswi...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari ya muda huu wanajanvi! Kama mada inavyojieleza hapo juu, Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la mahusiano au ndoa kutodumu na vijana wengi kuchelewa kuoa au kutooa Je...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja amemuacha mume wake na kuolewa na mfanyakazi wa benki aliyemuidhinishia mkopo kwa mahitaji yake. Mwanamke huyo, ambaye inasemekana hakuwa na furaha na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Huu ni utafiti mdogo wanawake wembamba wanapenda sana na hawachoki kuliko wanene. Na wengi wao ndio wanaongoza kwa uhuni au kutoka nje ya ndoa sababu hawaridhiki. Nadhani ndio maana hata miili...
8 Reactions
85 Replies
10K Views
Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa. Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na 1. wanawake wengi kukata tamaa...
9 Reactions
62 Replies
9K Views
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki. 2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama...
38 Reactions
153 Replies
7K Views
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
USIOE AU KUOLEWA NA MTU ASIYE NA KAZI. Na. Robert Heriel. Mimi Baba yako nimeyaona haya wala sijahadithiwa wala kusoma hekaya za wahenga. Nimeyaona kwa macho yangu mimi. Mwanangu kamwe...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu, Kuna muda nilitokea kumpenda mtoto mrembo sana, nikamtongoza akajaa mazima. Siku ikapangwa kuwa tukutane wapi na sa ngapi! Mtoto akaitikia wito akajaa magetoni. Wakuu omba...
15 Reactions
80 Replies
4K Views
Yapata wiki sasa Toka niamie mabibo azimio .uswahili aswa kwa waswahili. Maisha matam kidogo .ukiamka saubuhi misosi yetu ni Supu ya mapupu .bandama koromeo nyie kuleni minofu sie tupeni utumbo...
8 Reactions
69 Replies
9K Views
Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali. Kwanza...
16 Reactions
118 Replies
4K Views
SEHEMU YA KWANZA:NAANDAA ULIMBO Wadau salama,hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita,kwenye ile wilaya ya mkonze mkoani Tabora.Kipindi hicho nilikuwa kidato cha kwanza na nimerejea kwetu kutoka...
1 Reactions
8 Replies
510 Views
Wakuu, Nimefanya utafti wangu mdogo kwa takribani miaka miwili,ambapo nimegundua kuwa mahusiano mengi huwa hayadumu kwa muda mrefu Unaweza ukajiaminisha kuwa hili husiano nitajitahidi...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Utafiti wangu ambao haujaanza rasmi (hypothesis) ni kuwa wahusika watakuwa huru na mambo yao kwasababu mume wa mtu hana wivu kwa mchepuko. Karibuni tubadilishane mawazo.
3 Reactions
69 Replies
9K Views
Ku-prove kuwa mapenzi ni mchakato wa mihemuko ya hisia zenye kihelehele ambazo hufariji matamanio yako pale unapopata au kuona experience mpya au ambayo haujaizoea.
5 Reactions
11 Replies
509 Views
Habari za siku nyingi? Naimani uko salama na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Mimi mzima kabisa wa afya ya mwili na akili.. Its been 5 months now since u went away, haikuwa rahisi...
13 Reactions
134 Replies
10K Views
Back
Top Bottom