Naomba mnisaidieni jinsi ya kuepusha mimba

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom).

Si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani.
 
ndugu labda muwe wapenzi wa ndoa ..nyama kwa nyam mazee hatari...ziko njia tutakuelekeza kwa jinsi ya experience yetu..baada kidogo
 
oaneni kama hamtaki kutumia kinga,otherwise muwe mnalenga safe days though nayo si ya kuaminika coz mzunguko wa msichsna sometime unakuwa sio constant, hakisha mmepima na hamtoki njje ya mahusiano yenu
 
Acha kupiga m**i hadi uowe...........

Abiria funga kufuli lako............

Jifunze kusema "Nguruwe pita leo sina mkuki by Malila"
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani
oa tu
 
Jamani sikuhizi kwanza wakupe madongo then ndo watokee wasamalia wema wakwambie!!ngoja mimi ninajua unahesabu siku yakwanza ya mp yake hadi siku ya kumi na nne!Hizo siku ni noma sikwa wote ila siku saba za mwanzo na maanisha siku anayomaliza kama anaenda3 basi unaweza kuchakachua hadi 4+3 zaMp =7endelea siku3 tu!zinakuwa ten days kutokea hapo usipige hadi zipite 5then mwendo mdundo mpaka mp!siyakitaalamu sana ila inasaidia ila wataalamu watakuja kukusaidia mimi nimekupa idea yangu wapo wenye maskil yao hapa utapata usikonde ila kumbuka condomu ndugu yangu tunakuhitaji hapa JF:mmph:
 
njia pekee na yakuaminika duniani kote wengi wametumia na ikakubalika ni kutokufanya tendo la ndoa nae hii 100% atomimbika labda kwa uwezo wa roho mt
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

1. Kwanza umeomba msaada huku unanungunuka....Be bold when you present yourself!!..Epuka neno jamani jamani...muachie girlfrend wako alitumiee zaidi...!

2. Ukiweza kuwa strong as a man ... Be with character ... mpende Msichana wako kikamilifu..yaani mpende kabisa na umaanishe .. mpende mpaka atulie kabisa...unaweza kuanza kuongelea habari la future ya kweli naye... kupima nk!

3. Kwa namana hiyo atakuwa anafurahia zaidi Character of Love ... na utaweza kufanya naya sex ..mara chache ambazo ni safe!!

4. Kumbuka kumpenda Kabisa na usimtanie...!! Mpe upendo wa mwanume kamili ..Bold...Hard ..Penetrative... Carering... no bulling...teach her what you think is ok for you...etc.. Yote hii ni kuleta nidhamu ya sex on safe days only!! Ni upendo wa dhati tu unawezesha hili kufanyika...vinginevyo mtarukiana kama Kuku na you know this is a shame!!
 
jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom) si unajua sometimes condom ina madhara,mi sitaki kutumia condom hata kidogo,nihabarisheni namna ya kutokumimba msichana,nipo gizani jamani

silazima tu do!
 
Uhusiano tafadhari ni changu,GF,au mtu tuu wa kawida
Kwani Ngono kwako imekuwa basic need?acha ngono zembe.
Sina ushauri mwingine inaonekana umedhamiria kuharibu
 
Back
Top Bottom