Nilipoingia katika mahusiano nayenilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng'ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao.
Akanenepa!! Penzi...
Habari wana MMU!!.
Ni matumaini yangu mu~wazima wa afya!!.poleni na miangaiko ya siku nzima! Sijakosea kuja hapa na kuleta hii mada hapa jukwaani.,
Leo ninawaletea product maalumu kwa ajili ya...
Tumezoea kuwaona wakijinadi kwa mbwembwe, urembo na madaha kwenye majukwaa mbalimbali aka blogs, lakini ukiwaangalia utaona wengi wamepita umri na ungetegemea wangekuwa angalau na mtoto mmoja...
Habari wanajamvi?
Kuna demu ambaye ananiita kaka kwa kuwa mimi na yeye ni kabila moja. Na aliniambia kuwa ana boyfriend wake, basi kwa kulijua hilo mimi nimekuwa namchukulia kama dada na nina...
Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).
Wengi wao huwatongozi ila...
Tafadhali shufu kichwa cha habari hapo juu,
Zamani muda wangu muafaka wa kuwaza na kuwazua ilikuwa ni usiku kabla sijalala (measuring pros and cons) but nikaona inaniongezea stress sana usiku...
Ushauri wenu utasaidia sana kutatua tatizo hili ikiwa ni kisa cha kweli.
Kaka huyu alikutana na binti huyu miaka kama 7 iliyopita wakaanza kujivinjari na hatimaye kupata watoto wawili.kwa...
Kuna kitu huwa kinanishinda kuelewa kusema ukweli kinachotokea kati ya wanaume na wanawake wa kisasa, hivi inakuaje mke umutie mimba wewe mwanaume then mimba alelee kwako nyumbani lakini ikifika...
Here we go again!
Ni muda mwiingi sana naingia JF, nachungulia, halafu naondoka bila ku-comment kwahiyo nimeona bora nianzishe haka katopic ili tuweze kujadiliana kwa uwazi swala la watu...
Aisee kuna dada mmoja anasoma chuo fulani hapa moshi namfukuzia siku nyingi lakini alikuwa bado haeleweki.
Cha ajabu leo kaniita kwenda hadi hapo anapoishi maana yeye amepanga mbali kidogo na...
Kama mtakumbuka wiki iliyopita niliomba sampuli ya barua ya ukweni, nawashukuru kwa ushirikiano wenu, nilifanikiwa kuipeleka ila kidogo iibue zahama.
Mke mtarajiwa alinihint kuwa kaka yake ni...
Najua kuna idadi ya kutosha ya wanaume ambao ni waumini wazuri sana wa kufanya uchumba na wasichana wa sekondari na vyuo. Wasichana hao waliwapenda wanaume na kuamua kuwa na mahusiano nao au labda...
Jamani nina mpenzi wangu huu ni mwaka wa nne tupo pamoja tatizo ni kwamba tupo umri sawa (28) na tunapendana sana .
Sasa naombeni ushauri maana nasikiaga sio vyema mkifanana umri na huu mwaka I...
Jamani wanajamvi msaada tutani , mke wangu ananishangaza sana.
Kabla sijamuoa nilimpa taarifa kuwa nina mtoto na akakubali kuwa atamlea kama mwanaye na akashauri nimchukue kutoka kwa mama yake...
Sehemu ya kwanza
Ilikuwa ni siku ya jumanne mida ya saa kumi nambili jioni Mzee Ndesanjo alikuwa akiendesha gari aina ya Eskudo. Alifika nyumbani naharaka alishuka ndani ya gari kitendo cha...
Nimeiba muda, hi to you all.
Wakati inasemekana kuna kabila moja wanapenda sana wasichana weupe kuliko makabila mengine mimi bado nashangaa imani hii maana sijawahi kusikia kabila...
Habari zenu, naombeni USHAURI wa kumpa rafiki yangu. Ninae rafiki yangu ambaye kapendana sana yaani saaaana na msichana mmoja. Ishu iliyopo ni kwamba huyo msichana aliyependana naye ana dada...